TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Real mkuu nilichojifunza wengi wetu ni ile tabia na huruka za kiafrika ndizo zinatamaraki.Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.
Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!
Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!
Ukiwauliza wewe Magufuli alifanya nini kinachosababisha umchukie atakwambia unajua, ooh yule ali... 'Nothing'
👉🏾 Najifunza na ninaendelea kujifunza tabia ya binadamu.