Mungu hapangiwi ila Magufuli alipaswa ayaone haya akiwa hai ajifunze

Kama hujui magufuli ndie master mind wa hii kesi ya mchongo ila alikufa kabla hajaitekeleza ila matukio yote hayo yalipangwa wakati wake mama wawatu alikuta file mezani na wajanja wakamuingiza mke wa plan ya mtangulizi wake.
Alimfunga mbowe?
 
Ukiconcentrate kusoma coments za walio wengi kwenye huu uzi, pamoja na post yenyew, kama una akili timamu utauona ugumu wa kutake this country to the next level.

Bila ya kukomboa fikra za mtanzania hii nchi haitokuja kuendelea hata aje kuiongoza malaika.
 
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.

Alipaswa kumuona lisu akitabasamu na mama brussels.

Alipaswa kumuona mbowe akipeana na mama mkono ikulu.

Alipaswa kumuona sabaya na makonda wanavyohanyahanya.

Alipaswa kuona magazeti aliyoyafungia yanafunguliwa.

Alipaswa kumuona ndugai akiwa mbunge wa kawaida.

Alipaswa kumuona nape na makamba ni mawaziri.

Nk.

Ni vile tu wewe Mungu mkuu hupangiwi.

Wewe na Mungu mkoje? Huzini, hujaiba, hujatukana, hujafanya uasherati, Hujaua kwa kutoa Mimba au kusaidia mtu kutoa Mimba. Nini kipimo chako cha uhusiano huo? KUMBUKA kipimo upimiacho Ndo utakachopimiwa!

Mungu Sio wewe na Mimi. Njia zake na mawazo yake Sio njia zetu na mawazo yetu.

Imekuwaje umeyajua ya Mungu?

Endelea kunyooshea marehemu usiyejua amekufaje in reference na mahusiano yake na MUNGU wake?
 
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Aisee hivi nawe unamawazo ya hivi kweli mafuriko ya siasa hayachagui wa kumsomba..😂
 
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!

Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje??? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.

Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!

Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unafikiri sisi ni wajinga,,mastaplani wa hii kesi automatiki si mwingine Bali ni JIWE
 
Kina magufuli wapo wanaona na wanapasuka mioyo
 
Magufuli alitaka mbowe na lisu wafanye walichokifanya Sasa na sio tofauti.
Kwahiyo unajifanya umesahau kabisa magufuli alitaka kumuua Lisu lakini kwa mapenzi ya Mungu akafa yeye magufuli?
 
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!

Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.

Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!

Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Magu alikuwa ni kiongozi dhalimu na hakupaswa kuwa rais, hasa kwa nchi yenye katiba dhaifu kama yetu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Magufuli alitaka mbowe na lisu wafanye walichokifanya Sasa na sio tofauti.

Alitaka wafanye ni wake zake? Akatake hayo kwa mke wake. Alikuwa anatumia kiburi cha madaraka akidhani kila mtu atamnyenyekea kama wanaccm walivyokuwa wanamsujudia? Yule hakustahili kuwa kiongozi wa aina yoyote maana hakuwa na busara.
 
Alipaswa kuona mtu asiejulikana aliemnyooshea bunduki Nape akiwa chini ya ulinzi amefanya uhalifu na amekamatwa ,kumbe ni polic wao wamemficha na sasa amejulikana
 
Ukiconcentrate kusoma coments za walio wengi kwenye huu uzi, pamoja na post yenyew, kama una akili timamu utauona ugumu wa kutake this country to the next level.

Bila ya kukomboa fikra za mtanzania hii nchi haitokuja kuendelea hata aje kuiongoza malaika.
Upo sahihi kabisa.

We have a very long way to go.
 
Magufuli alitaka kupigiwa magoti kama Samia alivyopigiwa magoti.
Kama mbowe na lisu wangempigia magoti Yale yasingetokea
Kwahiyo unajifanya umesahau kabisa magufuli alitaka kumuua Lisu lakini kwa mapenzi ya Mungu akafa yeye magufuli?
 
Baada ya zito kumuombea msamaha mbowe.
Samia alimjibu.
"Mwambieni mbowe awe na adabu"
Jana mbowe alijifunza adabu akasamehewa.kama angeendelea kutokuwa na adabu mambo yangekuwa magumu zaidi
Alitaka wafanye ni wake zake? Akatake hayo kwa mke wake. Alikuwa anatumia kiburi cha madaraka akidhani kila mtu atamnyenyekea kama wanaccm walivyokuwa wanamsujudia? Yule hakustahili kuwa kiongozi wa aina yoyote maana hakuwa na busara.
 
Magufuli alitaka kupigiwa magoti kama Samia alivyopigiwa magoti.
Kama mbowe na lisu wangempigia magoti Yale yasingetokea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana hii [emoji625][emoji625][emoji625][emoji625] ya jana imepenya sana . Poleni watani
 
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!

Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.

Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!

Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kesi ya Mbowe ilianza wakati wa Magufuli. Kina Sirro wanasema walichelewa kumkamata Mbowe sababu upelelezi ulikuwa haujakamilika lakini wenzake walishadakwa toka 2020 huko
 
Baada ya zito kumuombea msamaha mbowe.
Samia alimjibu.
"Mwambieni mbowe awe na adabu"
Jana mbowe alijifunza adabu akasamehewa.kama angeendelea kutokuwa na adabu mambo yangekuwa magumu zaidi

Nimecheka kinoma, vile ulivyomuona jana ndio alivyo siku zote. Labda useme siku nyingine huwa anatembea uchi, hivyo alivyoona anakutana na rais ikabidi avae vile. Yaani ww ndio unamtetemekea rais, ila sio kila mtu boss.
 
Back
Top Bottom