Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo...
Ulikuwa hujazaliwa kipindi Magufuli anamteua polepole ubungealipaswa kuwaona polepole na bashiru wakiwa wabunge wa viti maalum pia
Magu hakumkamata mbowe na kuvunja Uhuru wa mahakama kumuachia ili aonekane mwema.Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo...
Yaani muuwaji na mtesi wa watu ndio alifaa apongezwe!!!?Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje??? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu...
Kushindana na marehemu ndio ajenda ya huu utawala, kila baya lilisababishwa na magufuli, Ila ukweli haujifichi.Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje??? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu...
Mkuu hauko serious! Kwa tukio ili la leo unasema ndiyo fursa nzuri yakujenga Katiba Imara! Imara ambayo itawafunga watu ambao hamtaki wafungwe? Au nayo mtavunja kwa kumuomba Rais aingilie kati tena!Hii ni fursa nyingine ya kujenga nchi nzuri yenye KATIBA IMARA inayolinda na kutoa haki kwa upana kwa raia wote, upinzani hasa CHADEMA wanapaswa kuitumia vizuri
Kuna watu wanachuki na husda kuzidi shetwain kama kweli yupo.Magu hakumkamata mbowe na kuvunja Uhuru wa mahakama kumuachia ili aonekane mwema.
Leo hata ikitokea mtu ametekwa utasikia yalikua ni maagizo kutoka serikali iliyopita,Kuna watu wanachuki na husda kuzidi shetwain kama kweli yupo.
SSH ndiye aliyeitangazia dunia mbowe ni gaidi mbele ya bbc lawama anapewa marehemu.
Ndio maana huwa na waita vichwa panzi wanaamini katika uhuru wa wao kutoa maoniLeo hata ikitokea mtu ametekwa utasikia yalikua ni maagizo kutoka serikali iliyopita,
Yule jamaa wa umeme alianza kumsingizia marehemu saivi anaficha aibu zake, anaomba apewe muda. Uongo hua haudumu.Ndio maana huwa na waita vichwa panzi wanaamini katika uhuru wa wao kutoa maoni
ila yasitofautiane na wao.