Atakuwa anajifunza huko Namna ya Kuishi Kwa Upendo na Malaika anaowaongozaMwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo...
You could be IGPI wish I wish I wish
Katika kichwa panzi yule..Yule jamaa wa umeme alianza kumsingizia marehemu saivi anaficha aibu zake, anaomba apewe muda. Uongo hua haudumu.
You could be IGP
polepole aliteuliwa ubunge na mama si magufuliUlikuwa hujazaliwa kipindi Magufuli anamteua polepole ubunge
Au ndio umepata simu leo?
Kichwa panzi.
Angekuwa hai angemruhusu mama afanye yote hayo?Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo
Nilivyosoma this piece of repeated verse nikajua huyu ni Mshana,kucheki kweli.Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Aliyataka mwenyeweKushindana na marehemu ndio ajenda ya huu utawala, kila baya lilisababishwa na magufuli, Ila ukweli haujifichi.
Duuh!!! Ulizia kwanza unachokisema sio unaropoka tu.polepole aliteuliwa ubunge na mama si magufuli
Nani sasa aliyeyataka?
Alimfunga mbowe?
Kwamba hakuwa na upendo,utu wala jema .. eti? Tuache unafki!!Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Hapana ila kwa sumu aliyoiacha anajikuta yeye ndio anapakazwa kila la kitaifa lililo 'ovu'. Binafsi nimejifunza jambo kubwa na muhimu sana kuhusu kuishi na watu.Alimfunga mbowe?
Mh!. Upendo aliudownload kutoka website ipi?Kwamba hakuwa na upendo wala jema.. eti?
Mshana Jr akiupenda mstari au kifungu cha habari ana ki resend Nikawaida yake ukiona hivyo jua amevutiwa.Nilivyosoma this piece of repeated verse nikajua huyu ni Mshana,kucheki kweli.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
KweliMshana Jr akiupenda mstari au kifungu cha habari ana ki resend Nikawaida yake ukiona hivyo jua amevutiwa.
Huku akipigwa kelebu buku nane kwq sekunde tanoMwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo...