Alimfunga mbowe?
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Alipaswa kumuona lisu akitabasamu na mama brussels.
Alipaswa kumuona mbowe akipeana na mama mkono ikulu.
Alipaswa kumuona sabaya na makonda wanavyohanyahanya.
Alipaswa kuona magazeti aliyoyafungia yanafunguliwa.
Alipaswa kumuona ndugai akiwa mbunge wa kawaida.
Alipaswa kumuona nape na makamba ni mawaziri.
Nk.
Ni vile tu wewe Mungu mkuu hupangiwi.
Aisee hivi nawe unamawazo ya hivi kweli mafuriko ya siasa hayachagui wa kumsomba..😂Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Unafikiri sisi ni wajinga,,mastaplani wa hii kesi automatiki si mwingine Bali ni JIWEAma kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje??? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.
Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!
Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3]Leo hata ikitokea mtu ametekwa utasikia yalikua ni maagizo kutoka serikali iliyopita,
Kwahiyo unajifanya umesahau kabisa magufuli alitaka kumuua Lisu lakini kwa mapenzi ya Mungu akafa yeye magufuli?Magufuli alitaka mbowe na lisu wafanye walichokifanya Sasa na sio tofauti.
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.
Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!
Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Magufuli alitaka mbowe na lisu wafanye walichokifanya Sasa na sio tofauti.
Upo sahihi kabisa.Ukiconcentrate kusoma coments za walio wengi kwenye huu uzi, pamoja na post yenyew, kama una akili timamu utauona ugumu wa kutake this country to the next level.
Bila ya kukomboa fikra za mtanzania hii nchi haitokuja kuendelea hata aje kuiongoza malaika.
Kwahiyo unajifanya umesahau kabisa magufuli alitaka kumuua Lisu lakini kwa mapenzi ya Mungu akafa yeye magufuli?
Alitaka wafanye ni wake zake? Akatake hayo kwa mke wake. Alikuwa anatumia kiburi cha madaraka akidhani kila mtu atamnyenyekea kama wanaccm walivyokuwa wanamsujudia? Yule hakustahili kuwa kiongozi wa aina yoyote maana hakuwa na busara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana hii [emoji625][emoji625][emoji625][emoji625] ya jana imepenya sana . Poleni wataniMagufuli alitaka kupigiwa magoti kama Samia alivyopigiwa magoti.
Kama mbowe na lisu wangempigia magoti Yale yasingetokea
Kesi ya Mbowe ilianza wakati wa Magufuli. Kina Sirro wanasema walichelewa kumkamata Mbowe sababu upelelezi ulikuwa haujakamilika lakini wenzake walishadakwa toka 2020 hukoAma kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Hivi Magufuli na kesi ya Mbowe anaingiaje? Hivi huyu mtu kumbe alikuwa anachukiwa namna hii??? Just imagine watu wanapambana na kaburi la Magufuli kila siku kutukanwa ni bora mwenyezi Mungu aliamua kumpumzisha Mzee was watu.
Sikutegemea kabisa kutajwa kwake kwenye kesi ya mchongo kama hii. Anayepaswa kukosolewa ati anapongezwa!!
Goja nikae kimya lakini ipo siku moja ukweli utajulikana!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana hii [emoji625][emoji625][emoji625][emoji625] ya jana imepenya sana . Poleni watani
Baada ya zito kumuombea msamaha mbowe.
Samia alimjibu.
"Mwambieni mbowe awe na adabu"
Jana mbowe alijifunza adabu akasamehewa.kama angeendelea kutokuwa na adabu mambo yangekuwa magumu zaidi