APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
Jina kubwa lililopita majina yote, wewe ni alpha na omega, mkuu utaishi milele na milele.
MUNGU, je haya tunayoyaona ni daliliza mwisho wa dunia, au ndo mwisho tayari, maana kila kukicha habari juu ya matukio mbali mbali?mara PADRE kalawiti watoto, mara shehee kalawiti mtoto, connection za mirinda, panya road, sakata la katibu, IFM na video za utupu, mashoga kwenye party, mke ajinyonga, mara mwanafunzi wa shule ya msingi apigwa na kitu kizito kichwani, mwanaume haua familia yake na yeye ajiua, ni matukio juu ya matukio hali inatisha sana.
Huwa mda mwingine najiuliza hivi baba kweli upo? maana naona shetani anaonekana akitenda kazi sana kuliko wewe, ila napata imani nikijuwa shetani anatafuta wa kwake wa motoni, ujashindwa kumfutilia mbali bali yote yaliyopangwa lazima yatimie tu.
Baba najiuliza hivi baada ya miaka 20 inayokuja mbele hivi kizazi kitakuwaje? maana sasa hivi wameshaanza kuwaharibu watoto wetu kupitia cartoon, ushoga na usagaji, hii inaitwa kufa ufi ila cha moto utakiona.
MUNGU unatupenda sana, hata kama tunatenda dhambi vipi, ila hewa unatupa, mvua unatupa haijawahi tokea hata siku moja ukatunyima usingizi, kweli kwa dhambi tunazofanya ingekuwa ni mtihani tunge fail wengi.
Baba binadamu wa sasa hivi wamejaa roho mbaya sana, wanajali pesa, mavazi na malazi hawana utu kabisa, wameweka pesa mbele najuwa yote unayaona ila bado unatupenda baba.
MUNGU Kwanini uliumba hii dunia mbona imekuwa sio mahali salama pakuishi tena, wazungu uliowaumba wanataka kuusambaratisha huu ulimwengu kwa nyukilia, je sisi tusio na uwezo wa AFRICA, tutaishi wapi? wao wazungu wanajiandaa kuishi mwezini ndo maana wanatutisha na nyukilia.
MUNGU nakushitakia ninayo yaona huenda ukatupa solution ya mambo yote, hivi haya magonjwa yametoka kwako? Ebola, corona, cancer, ulcers na mengine kibao, baba kwani huwezi kurudisha miaka nyuma turudi kuwa manyani? Maana sisi waafrica inasemekana tumetoka kwa manyani, kweli sisi watoto wako ni manyani?
Tupe basi hata upeo wa kugundua mambo mengi nasisi tuogopeke japo kidogo.
Najuwa ushindwi na chochote ila umegeuza kichwa chako kwetu kwa sababu ya dhambi zetu, tusamehe baba maana unatunyoosha sana, tumekukosea nini watanzania mbona chakula bei kubwa? na japo tuna ardhi kubwa yenye rutuba, yote hayo kwakuwa tumeshindwa kutumia ulichotupa vyema.
MUNGU hushindwi na chochote, yajayo yanafurahisha.