Mungu, haya tunayoyaona ni dalili za mwisho wa dunia au ndiyo mwisho tayari?

Mi nafata maelekezo ya DNA tu.....Hata mambo kama sura iweje, nipumueje,urefu wangu,nk. Nimefuata maelekezo tu kutoka DNA
Usiingize sayansi na MUNGU,Hamchelewi kusema kati ya yai na kuku limetangulia lipi
 
Sisi ni wageni maana tunakufa,tungekuwa sio wageni tungeishi milele
Wewe umekuwepo kabla hujazaliwa na utakuwepo baada ya kufa...Unajua kuwa umekua tumboni kwa mama ako kupitia chakula alichokula ambacho kilikuwepo shambani? na hata ukifa atoms zako zitabaki na kutumika kwa mambo mengine. (Mbolea au chakula ya bacteria)

Kwanza Hiyo definition ya ugeni umeitungia wapi?
Kwahyo mgeni ni mtu asiyekufa....Basi kila kitu unachokiona au kukijua kwenye huu ulimwengu ni kigeni....Maana amin amin nakuambia kila kitu kitakufa
 
Sasa sayansi ndio uhalisia uliopo tunaouishi....Labda wewe ndio usichanganye Mungu na uhalisia...Mungu abaki kama fictional character kwenye vitabu vya stori za kale tu kama Quran na biblia
 
Kwa hiyo huamini kwamba binadamu wa kwanza ni Adam
 
Sasa sayansi ndio uhalisia uliopo tunaouishi....Labda wewe ndio usichanganye Mungu na uhalisia...Mungu abaki kama fictional character kwenye vitabu vya stori za kale tu kama Quran na biblia
Hapana biblia haijawahi kupitwa na wakati
 
Najuwa ushindwi na chochote ila umegeuza kichwa chako kwetu kwa sababu ya dhambi zetu, tusamehe baba maana unatunyoosha sana, tumekukosea nini watanzania mbona chakula bei kubwa? na japo tuna ardhi kubwa yenye rutuba, yote hayo kwakuwa tumeshindwa kutumia ulichotupa vyema.
Mungu mwenyewe atakujibu "nilikupa urithi wenye rutuba ila nikakunyima akili"
 
MUNGU ametusahau

Isaya 59:1-2 BHN​

Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni. Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
 
Hivi kweli mtoto anaweza kuka mbali na baba yake??
 
Sisi ni wageni maana tunakufa,tungekuwa sio wageni tungeishi milele
Hii dunia imestaarabika ukilinganisha na matukio yaliyokuwa yakitokea miaka hiyo iliyopita,,,

halafu lazima tuangalie kuwa MATUKIO lazima yaendane na POPULATION ya watu inavyozidi.. Usitegemee wingi wa matukio yaliyokuwa yakifanywa mfano Tanganyika enzi tunapata Uhuru tukiwa Mil. 7 yalingane na sasa tunakaribia Mil. 60...
 
Back
Top Bottom