Mungu, haya tunayoyaona ni dalili za mwisho wa dunia au ndiyo mwisho tayari?

Acha asili ichukue nafasi yetu..tulishaambiwa duniani sio sehem salama pana dhiku na mateso
Mlidanganywa.....Dunia imejaa neema na furaha tele.
Jua linakuwakia kukupa joto, kukukuzia mazao
Miti inakutengenezea chakula na hewa ili upumue
Mvua zinanyesha kukuletea maji na kukuza mimea
Dunia inazunguka ili upate muda wa kulala usiku
Yani dunia inakuhudumia kama mfalme
 
Kwa hali ilivyo sasa kumbe dunia ilificha makucha yake,maana tulikuwa wageni wa dunia??
 
hakuna jipya chini ya jua hii yafanyikayo sasa yote ni marudio.MUNGU YUPO MUNGU NI MWEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…