APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
- Thread starter
-
- #41
Usiingize sayansi na MUNGU,Hamchelewi kusema kati ya yai na kuku limetangulia lipiMi nafata maelekezo ya DNA tu.....Hata mambo kama sura iweje, nipumueje,urefu wangu,nk. Nimefuata maelekezo tu kutoka DNA
Mbona huku upo??Nishakata tayari ongea tena
Naenda kukata tenaMbona huku upo??
Hauna connection na tanesco,labda ulizonazo za mke wa masanja😄😄😄Naenda kukata tena
Wewe umekuwepo kabla hujazaliwa na utakuwepo baada ya kufa...Unajua kuwa umekua tumboni kwa mama ako kupitia chakula alichokula ambacho kilikuwepo shambani? na hata ukifa atoms zako zitabaki na kutumika kwa mambo mengine. (Mbolea au chakula ya bacteria)Sisi ni wageni maana tunakufa,tungekuwa sio wageni tungeishi milele
Sasa sayansi ndio uhalisia uliopo tunaouishi....Labda wewe ndio usichanganye Mungu na uhalisia...Mungu abaki kama fictional character kwenye vitabu vya stori za kale tu kama Quran na bibliaUsiingize sayansi na MUNGU,Hamchelewi kusema kati ya yai na kuku limetangulia lipi
Kwa hiyo huamini kwamba binadamu wa kwanza ni AdamWewe umekuwepo kabla hujazaliwa na utakuwepo baada ya kufa...Unajua kuwa umekua tumboni kwa mama ako kupitia chakula alichokula ambacho kilikuwepo shambani? na hata ukifa atoms zako zitabaki na kutumika kwa mambo mengine. (Mbolea au chakula ya bacteria)
Kwanza Hiyo definition ya ugeni umeitungia wapi?
Kwahyo mgeni ni mtu asiyekufa....Basi kila kitu unachokiona au kukijua kwenye huu ulimwengu ni kigeni....Maana amin amin nakuambia kila kitu kitakufa
NishakataHauna connection na tanesco,labda ulizonazo za mke wa masanja😄😄😄
Hapana biblia haijawahi kupitwa na wakatiSasa sayansi ndio uhalisia uliopo tunaouishi....Labda wewe ndio usichanganye Mungu na uhalisia...Mungu abaki kama fictional character kwenye vitabu vya stori za kale tu kama Quran na biblia
UpoNishakata
Angalia tena
Mungu mwenyewe atakujibu "nilikupa urithi wenye rutuba ila nikakunyima akili"Najuwa ushindwi na chochote ila umegeuza kichwa chako kwetu kwa sababu ya dhambi zetu, tusamehe baba maana unatunyoosha sana, tumekukosea nini watanzania mbona chakula bei kubwa? na japo tuna ardhi kubwa yenye rutuba, yote hayo kwakuwa tumeshindwa kutumia ulichotupa vyema.
Mi sipo dunianiAngalia tena
Upo kuzimu au sioMi
Mi sipo duniani
Hivi kweli mtoto anaweza kuka mbali na baba yake??Isaya 59:1-2 BHN
Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni. Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
AnganiUpo kuzimu au sio
Kwenye UngoAngani
Hapana kwenye mawinguKwenye Ungo
Hii dunia imestaarabika ukilinganisha na matukio yaliyokuwa yakitokea miaka hiyo iliyopita,,,Sisi ni wageni maana tunakufa,tungekuwa sio wageni tungeishi milele