APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
- Thread starter
-
- #61
Basi inawezekana zamani matukio yalikuwa mengi sema kulikuwa hakuna vyombo vya habari yalipita juujuuHii dunia imestaarabika ukilinganisha na matukio yaliyokuwa yakitokea miaka hiyo iliyopita,,,
halafu lazima tuangalia kuwa MATUKIO lazima yaendane na POPULATION ya watu inavyozidi.. Usitegemee wingi wa matukio yaliyokuwa yakifanywa mfano Tanganyika enzi tunapata Uhuru tukiwa Mil. 7 yalingane na sasa tunakaribia Mil. 60...
Mawingu?Hapana kwenye mawingu
Nikupe connection au link??chagua mojaMawingu?
UnasemaaaaDunia Ina mengi, bado yapo mengi yanakuja. Itafika hata kutembeza utupu kuwa fasheni.
Hahah....kwahyo wewe unaamini binadamu wa kwanza aliishi pale Iraq miaka 6000 iliyopita?Kwa hiyo huamini kwamba binadamu wa kwanza ni Adam
Connection ya nani?Nikupe connection au link??chagua moja
Ya mawinguniConnection ya nani?
Ngoja nikukatie umeme maana naona huelewiYa mawinguni
Kabla ya kukata umeme je umekula mchana??Ngoja nikukatie umeme maana naona huelewi
Nishakula hadi mpishiKabla ya kukata umeme je umekula mchana??
Ofcoz, leo hii tukio likitokea popote halipiti wiki liko kwa hewa ila ukienda kule kijijini kwenu lazima babu au bibi akupe visa vya kutisha vilivyowahi kutokea enzi hizo ambavyo kwa sasa vingetengeneza headlines za kutosha tu.Basi inawezekana zamani matukio yalikuwa mengi sema kulikuwa hakuna vyombo vya habari yalipita juujuu
Hii dunia ngumu kuielewa,ndo maana huwa naiacha tuHahah....kwahyo wewe unaamini binadamu wa kwanza aliishi pale Iraq miaka 6000 iliyopita?
Wakati kuna mafuvu yanapatikana ulimwenguni kote ya zamani kuliko hiyo? Hapa Bongo tu kuna fuvu la binadamu kama wewe pale Ngorongoro, huyo binadamu kaishi miaka zaidi ya laki 2 ilyopita.
Adam ni binadamu wa kwanza kwenye tamaduni za kiyahudi (ambazo wakristo na waislam walizirithi.)
ila ukienda India tu hapo kuna vitabu vya dini ambavyo vimeandikwa zamani kabla hata Adam hajazaliwa. (Vedas)
Ukiacha hiyo...kuna Miji ilikuwepo kabla hata adam hajazaliwa..Sehemu kama Mesopotamia zaidi ya miaka 7000 uko.
Haiwezekani Adamu yupo na Eva uchi kwenye bustani wanashauriana kula tunda muda huohuo kuna watu wameshaadvance wanalima ardhi, wanatengeneza miji, wanaandika maandishi,nk.
Ndomaana hata bible inasema Cain mtoto wa adam alipoemda mbali alikutana na mji wenye watu.
Dunia ni rahisi sana kuielewa ukiamua kutafuta elimu sahihi kwa watu sahihi.Hii dunia ngumu kuielewa,ndo maana huwa naiacha tu
-Alisikika jamaa mmoja kutoka ugiriki miaka 600 kabla ya yesu kuzaliwa.Maiak 20 kutoka leo hatutoboi