Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.

Mungu hayupo, Nimemaliza.

"fukara ninaeshukuru au tajiri nisiekufuru"- Mwana FA.

Kuna watu hayo matatizo uliyonayo hawana,
Wanaishi dunian raha mustarehe .Je? Mungu yuko kwao tu,?....
 
Hakuna binadamu ambaye hana matatizo ,tunaishi kwa natumaini kama tumekariri.

Assume yule Elon Musk mwanawe wa kumzaa ni shoga ,muda mwingine anajisikia vibaya ,pia jamaa ameachwa sana licha ya kuwa na watoto 14...Kiufupi duniani ni matatizo mwanzo mwisho labda uishe kwenye mfumo wa ujima.
 
Hivi Mtoto kuwa shoga ndio tatizo kwa Baba?.
Hebu fikiria kwa akili kidogo.

Mtoa mada kasema Shida na tabu.

Hoja Yangu:-
Kuna watu Shida na tabu hawana.
Atleast kwa kipind fulan. Lakin haiondoi uhalisia kuwa kuna watu wanaishi hawana shida wala tabu,
Je hawa ndio Mungu kawaumba?
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.

Mungu hayupo, Nimemaliza.
Amka! Wenzako tunajiandaa kuruka na Yesu kwenda mbinguni kuishi maisha yasiyo na taabu wala uchafu, wewe bado uko usingizini ukifikiri hii dunia itadumu milele. Siku si nyingi dunia hii itachomwa moto pamoja na wote wasioamini

2 Petro 3:10
Lakini siku ya Mwenyezi Mungu itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilicho ndani yake kitaunguzwa.

Shtuka, shetani amezitia giza akili zako.
2 Wakorintho 4:4
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu[shetani] amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.

Angalia hata Waisraeli waliomkataa Yesu, sasa wanajiandaa kumpokea Masihi. Soma uzi huu 👇
NIMEMALIZA
 
Basi sawa. Kuanzia leo na kuendelea, usiamini uwepo wake.
 
Sasa wewe Binti mrembo na msomi hekaya zote hizo za nini??
 
Hivi Mtoto kuwa shoga ndio tatizo kwa Baba?.
Hebu fikiria kwa akili kidogo.

Mtoa mada kasema Shida na tabu.

Hoja Yangu:-
Kuna watu Shida na tabu hawana.
Atleast kwa kipind fulan. Lakin haiondoi uhalisia kuwa kuna watu wanaishi hawana shida wala tabu,
Je hawa ndio Mungu kawaumba?
Shida na tabu ni yale yale tu kama jambo linakupa mawaz n kujihsi vibaya basi ni tatizo
 
Back
Top Bottom