Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
uzuri ni kwamba ukimuamini ama usipomuamini hakupunguzi chochote katika ukuu na ufalme wake isipokuwa ni kwa faida au maangamivu yako mwenyewe.
Jitathimini kwanza, unayoyapitia wewe ndio chanzoNawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Bahati nzuri yupo? Asingekuwepo hata wewe usingekuwepo na hapa tusingekuwa tunajibu upuuzi wa uwepo wako😎Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya
Taabu na shida umetengeneza mwenyeweNawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Hilo liko wazi kama ya mbuzi katoliki.Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.
Mungu yupi? Miungu ipo mingi, ni yupi ambaye unasema hayupo?Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.
We ni muumini wa imani gani kwani??Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.
Mungu Yupo, Mungu Yupo, Mungu Yupo. IF YOU THINK OTHERWISE, YOU ARE A HOPELESS , DELUDED IDIOTMungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.