Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

M

Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.
Sasa hivi unavuta hewa bure , wenzako wako hospitali na mitungi ya gesi, Figo zako zinafanya kazi, wenzetu wapo kwenye dialysis, moyo unasukuma damu, wenzetu wanatumia betri, viungo vyako vizima , wenzetu wameparalyse, una Miguuu unatembea, wenzetu vilema, unakula mwenyewe, wenzetu wanakula kwa mrija, unakwenda haja , wenzetu wanatumia viroba, kama mambo yote haya hayakuzindui kua kuna Mungu basi ww ujitafakari ubongo wk
 
Haya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupo

Angekuwepo nisingevuta hewa peke yangu, wenzangu wasingekuwa hospitalini na mitungi ya gesi, kila mtu figo za kilq mmoja wetu zingefanya kazi kwa ufasaha, wenzetu wasingekuwa vilema, wenzetu wasingetumiq virobq, wenzetu wasinge paralyse.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.

Mungu hayupo, Nimemaliza.
Akili yako ni ndogo kiasi kwamba mtu anaweza sema huna akili
 
Haya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupo

Angekuwepo nisingevuta hewa peke yangu, wenzangu wasingekuwa hospitalini na mitungi ya gesi, kila mtu figo za kilq mmoja wetu zingefanya kazi kwa ufasaha, wenzetu wasingekuwa vilema, wenzetu wasingetumiq virobq, wenzetu wasinge paralyse.
Hayo yote yanatokea sababu Mungu ametaka yatokee kama mtihani kwetu..
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.

Mungu hayupo, Nimemaliza.
Kalenda yako ya Mungu kumaliza uchafu na kalenda yake vinatofautiana.
 
Haya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupo

Angekuwepo nisingevuta hewa peke yangu, wenzangu wasingekuwa hospitalini na mitungi ya gesi, kila mtu figo za kilq mmoja wetu zingefanya kazi kwa ufasaha, wenzetu wasingekuwa vilema, wenzetu wasingetumiq virobq, wenzetu wasinge paralyse.
You are a dumb brute, I can forgive a dumb brute
 
Back
Top Bottom