Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Thibitisha...Ndiyo, Mungu hayupo.
Thibitisha...Ndiyo, Mungu hayupo.
Upo wewe mkuu😁Mungu hayupo.
Sasa hivi unavuta hewa bure , wenzako wako hospitali na mitungi ya gesi, Figo zako zinafanya kazi, wenzetu wapo kwenye dialysis, moyo unasukuma damu, wenzetu wanatumia betri, viungo vyako vizima , wenzetu wameparalyse, una Miguuu unatembea, wenzetu vilema, unakula mwenyewe, wenzetu wanakula kwa mrija, unakwenda haja , wenzetu wanatumia viroba, kama mambo yote haya hayakuzindui kua kuna Mungu basi ww ujitafakari ubongo wkM
Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.
Sijawahi kumuona, hayupo.Thibitisha...
Waves za minara umewahi kuziona?Sijawahi kumuona, hayupo.
Haya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupoSasa hivi unavuta hewa bure , wenzako wako hospitali na mitungi ya gesi, Figo zako zinafanya kazi, wenzetu wapo kwenye dialysis, moyo unasukuma damu, wenzetu wanatumia betri, viungo vyako vizima , wenzetu wameparalyse, una Miguuu unatembea, wenzetu vilema, unakula mwenyewe, wenzetu wanakula kwa mrija, unakwenda haja , wenzetu wanatumia viroba, kama mambo yote haya hayakuzindui kua kuna Mungu basi ww ujitafakari ubongo wk
Akili yako ni ndogo kiasi kwamba mtu anaweza sema huna akiliNawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Hayo yote yanatokea sababu Mungu ametaka yatokee kama mtihani kwetu..Haya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupo
Angekuwepo nisingevuta hewa peke yangu, wenzangu wasingekuwa hospitalini na mitungi ya gesi, kila mtu figo za kilq mmoja wetu zingefanya kazi kwa ufasaha, wenzetu wasingekuwa vilema, wenzetu wasingetumiq virobq, wenzetu wasinge paralyse.
Kalenda yako ya Mungu kumaliza uchafu na kalenda yake vinatofautiana.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Kwanini hayajatokea kwako?Hayo yote yanatokea sababu Mungu ametaka yatokee kama mtihani kwetu..
Mungu hayupo.Kalenda yako ya Mungu kumaliza uchafu na kalenda yake vinatofautiana.
Sina akili, ila Mungu hayupo.Akili yako ni ndogo kiasi kwamba mtu anaweza sema huna akili
Sina akili, ila Mungu hayupo.Akili yako ni ndogo kiasi kwamba mtu anaweza sema huna akili
Uliniuliza nipo nikakujibu ndiyo.Waves za minara umewahi kuziona?
Kama vile TV yako ya sebuleni yaweza kutokea tu ikajitengenezaMungu hayupo.
Dah basi pole sana mkuuSina imani yoyote kwa sasa.
You are a dumb brute, I can forgive a dumb bruteHaya maelezo yako yanathibitisha Mungu hayupo
Angekuwepo nisingevuta hewa peke yangu, wenzangu wasingekuwa hospitalini na mitungi ya gesi, kila mtu figo za kilq mmoja wetu zingefanya kazi kwa ufasaha, wenzetu wasingekuwa vilema, wenzetu wasingetumiq virobq, wenzetu wasinge paralyse.
We leta Viingereza vyako ili ujulikane umesoma.You are a dumb brute, I can forgive a dumb brute
Kama vile TV yako ya sebuleni yaweza kutokea tu ikajitengeneza