Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
You sound too low my friend!Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Kwahio tukusaidiaje?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Hivi inawezekana ni kweli,eti?Matatizo yapo kwenye akili yako hakuna kitu kinaitwa matatizo
Hakuna binadamu ambaye hana matatizo ,tunaishi kwa natumaini kama tumekariri."fukara ninaeshukuru au tajiri nisiekufuru"- Mwana FA.
Kuna watu hayo matatizo uliyonayo hawana,
Wanaishi dunian raha mustarehe .Je? Mungu yuko kwao tu,?....
Hakuna binadamu ambaye hana matatizo ,tunaishi kwa natumaini kama tumekariri.
Assume yule Elon Musk mwanawe wa kumzaa ni shoga ,muda mwingine anajisikia vibaya ,pia jamaa ameachwa sana licha ya kuwa na watoto 14...Kiufupi duniani ni matatizo mwanzo mwisho labda uishe kwenye mfumo wa ujima.
Amka! Wenzako tunajiandaa kuruka na Yesu kwenda mbinguni kuishi maisha yasiyo na taabu wala uchafu, wewe bado uko usingizini ukifikiri hii dunia itadumu milele. Siku si nyingi dunia hii itachomwa moto pamoja na wote wasioaminiNawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Basi sawa. Kuanzia leo na kuendelea, usiamini uwepo wake.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Ukiona una matatizo mengi weka bidii kutafuta maarifa yanakimbiza matatizoHivi inawezekana ni kweli,eti?
Labda."fukara ninaeshukuru au tajiri nisiekufuru"- Mwana FA.
Kuna watu hayo matatizo uliyonayo hawana,
Wanaishi dunian raha mustarehe .Je? Mungu yuko kwao tu,?....
Hii Ina maanisha kwamba hakuna miujiza na Mungu hayupo si etie.Ukiona una matatizo mengi weka bidii kutafuta maarifa yanakimbiza matatizo
Sawa na Asante kwa kushiriki.Basi sawa. Kuanzia leo na kuendelea, usiamini uwepo wake.
Sasa wewe Binti mrembo na msomi hekaya zote hizo za nini??Amka! Wenzako tunajiandaa kuruka na Yesu kwenda mbinguni kuishi maisha yasiyo na taabu wala uchafu, wewe bado uko usingizini ukifikiri hii dunia itadumu milele. Siku si nyingi dunia hii itachomwa moto pamoja na wote wasioamini
2 Petro 3:10
Lakini siku ya Mwenyezi Mungu itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilicho ndani yake kitaunguzwa.
Shtuka, shetani amezitia giza akili zako.
2 Wakorintho 4:4
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu[shetani] amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.
Angalia hata Waisraeli waliomkataa Yesu, sasa wanajiandaa kumpokea Masihi. Soma uzi huu 👇
NIMEMALIZARais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!
Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...www.jamiiforums.com
Hakika momUkiona una matatizo mengi weka bidii kutafuta maarifa yanakimbiza matatizo
Shida na tabu ni yale yale tu kama jambo linakupa mawaz n kujihsi vibaya basi ni tatizoHivi Mtoto kuwa shoga ndio tatizo kwa Baba?.
Hebu fikiria kwa akili kidogo.
Mtoa mada kasema Shida na tabu.
Hoja Yangu:-
Kuna watu Shida na tabu hawana.
Atleast kwa kipind fulan. Lakin haiondoi uhalisia kuwa kuna watu wanaishi hawana shida wala tabu,
Je hawa ndio Mungu kawaumba?