secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Akili zangu fupi ila huwa nikigusa mbege na ndugu yangu secretarybird (japo ye haamini ninachoamini)natafakari vitu vingi sana
Me swali langu kubwa ninalojiulizaga hivi kwel tutokee tokee tu mwanaume akiwa na uume na mwanamke uuke hivi hivi jamani bila ya kuwa na fundi wa uumbaji wa namna hii

Mkuu mbege tukiendelea kuinywa lazima tufikie ukweli hivyo lazima tuendelee kuinywa kwa minajili ya kupanua maarifa.Akili zangu fupi ila huwa nikigusa mbege na ndugu yangu secretarybird natafakari vitu vingi sana
Me swali langu kubwa ninalojiulizaga hivi kwel tutokee tokee tu mwanaume akiwa na uume na mwanamketuende uuke hivi hivi jamani bila ya kuwa na fundi wa uumbaji wa namna hii
Thibitisha; au miujiza haionekani au?
Toka Tajiri Sina BAYA alivyoniambia idea yake ya kwanza ya biashara aliipata baada ya kuonja mbege sijawahi kujuta kunywa huu unywajiMkuu mbege tukiendelea kuinywa lazima tufikie ukweli hivyo lazima tuendelee kuinywa kwa minajili ya kupanua maarifa.
Waliotujengea misingi ya kuamini walikuwa na malengo yapi?DR Congo: Children killed, injured, abducted, and face sexual violence in conflict at record levels for third consecutive year
‘Unimaginable horrors’: more than 50,000 children reportedly killed or injured in the Gaza Strip
releases/unimaginable-horrors-more-50000-children-reportedly-killed-or-injured-gaza-strip
First Thing: Gaza influencer, 11, among dozens of children killed by recent Israeli strikes
Gaza influencer, 11, among dozens of children killed by recent Israeli strikes | First Thing
Yaqeen Hammad is one of dozens of minors killed by Israeli attacks. Plus, US faces another summer of extreme heatwww.theguardian.com
🤣🤣🤣 🙌🙌Toka Tajiri Sina BAYA alivyoniambia idea yake ya kwanza ya biashara aliipata baada ya kuonja mbege sijawahi kujuta kunywa huu unywaji
min -me Kila mara anakuwa wa kwanza ku comment kwenye nyuzi za JF shauri ya kunywa mbege. Hii ndo kusema mbege ukiinywa ufanyaji wa shughuli zako unakuwa maradufu.Toka Tajiri Sina BAYA alivyoniambia idea yake ya kwanza ya biashara aliipata baada ya kuonja mbege sijawahi kujuta kunywa huu unywaji
Mungu yupo..Akili zangu fupi ila huwa nikigusa mbege na ndugu yangu secretarybird (japo ye haamini ninachoamini)natafakari vitu vingi sana
Me swali langu kubwa ninalojiulizaga hivi kwel tutokee tokee tu mwanaume akiwa na uume na mwanamke uuke hivi hivi jamani bila ya kuwa na fundi wa uumbaji wa namna hii
Sio tu hayupo, Pia hajawahi kuwepo na hatakaa awepo.
Duh! hii ni kali sana.Sio tu hayupo, Pia hajawahi kuwepo na hatakaa awepo.
Mungu hayupo.Mungu yupo na atakuwepo milele
Mungu hayupo.Akili zangu fupi ila huwa nikigusa mbege na ndugu yangu secretarybird (japo ye haamini ninachoamini)natafakari vitu vingi sana
Me swali langu kubwa ninalojiulizaga hivi kwel tutokee tokee tu mwanaume akiwa na uume na mwanamke uuke hivi hivi jamani bila ya kuwa na fundi wa uumbaji wa namna hii
Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.Mungu Yupo, Mungu Yupo, Mungu Yupo. IF YOU THINK OTHERWISE, YOU ARE A HOPELESS , DELUDED IDIOT
Mungu wa aina yoyote hayupo.Mungu yupi unayemzungumzia?
Maana kuna miungu zaidi ya 10000 duniani
Sina imani yoyote kwa sasa.We ni muumini wa imani gani kwani??
Shukuru sana kama hayajakukuta yaliyopaswa kukuonesha ukuu wa Mungu.
Mimi nipo najiona kabisa.Wewe ndio upo... Hujakosea wala hujapatia
Mungu hayupo, Mungu hayupo, Mungu hayupo.Jitahid ule ushibe
Ndiyo, Mungu hayupo.Sawa sawa..