DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ijumaa Kareem
Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa.
Kuna wakati Mungu Anasema na wewe Ila kupitia watu wengine na sio hao ambao wapo karibu yako.
Mwaka Jana nilienda Dodoma kukutana na kiongozi fulani wa kisiasa nilizungumza nae mambo mengi Sana Ila kubwa zaidi alinambia ukijaribu kutumia ulicho nacho hata Kama ni kidogo utapata ambacho unakihitaji hiajalishi itachukua muda gani .
Akanambia hata yeye ni mbunge wa miaka tisa, mwaka mmoja Kama naibu waziri na miezi Saba Kama waziri wa biashara.
Ila kasema I'm still hunting for green pastures (bado nawinda malisho mazuri zaidi na sijatosheka na akasema anashangaa Sana kipindi yupo the late JPM alikuwa hayupo nae closed Ila alipata uwaziri Ila Leo hii yupo karibu Sana na watu wajikoni Kwa Mama .... Ila hapati uwaziri .
This guy is well of , humble and hard worker akanambia nilijenga Dodoma Nyumba before sijapata ubunge na sasa Mimi ni mbunge na sasa naishi kwangu silipi kodi nikiwa bungeni wala kulala hotelini
Baada ya siku kadhaa niliondoka kwake na kurudi DSM .
Baada ya kufika DSM nikapata fursa ya kukutana na Ndugu yangu mmoja ambaye ni mkufunzi wa chuo kikuu kimoja maarufu ulaya .
Akasema japo nina PhD na ninalipwa a lot of money Ila I'm still hunting for green pastures akasema amekuwa karibu Sana na Mzee wetu wa awamu ile kabla ya JPM Ila hakufanikiwa kuambulia hata scholarship ya kwenda USA kusoma Ila kaja kuipata scholarship from unknown person.
kiufupi mwaka 2024 I met with a lot of peoples the list is endless.
Ila Kwa kuu-anza mwaka 2025 nikafanikiwa kukutana na Member Mmoja maarufu wa mtandao Fulani wa wawasomi Tanzania .
nilichokuja kuona na kujifunza huyu member ni mchapa Kazi Sana , smart ,humble and God fearing person, and visionary.
Yupo a head of the time
(Mbele ya muda)
So nilikaa nae muda mfupi Ila niseme I learned mambo chanya Sana kutoka kwake.
Kujituma
Nidhamu
Kujitambua
Kujua wewe ni nani
Na kubwa zaidi the power of socialization , the peoples you hang out with n.k
Kutembea kwenda duniani itakufanya uwe na ufahamu wa kina wa mambo mengi positive even negative.
humbleness -kujishusha ni silaha kubwa Sana doesn't matter how the odds you clicked. baada ya hapo nikajikuta katika tafakuri (reflection)Fulani.
Mimi sio msomi Sana wa dini Ila katika Quran kuna sura huwa naipeda surath Baqara AYH 286
inasema hivi
" God does not burden any soul with more than it can bear"
👇🏾
kuwa Mwenyezi Mungu huwa haibebeshi nafsi yoyote mzigo kinyume na inavyoweza kubeba."
Ukiona ndani yako unasikia nguvu ya kumsaidia mtu msaidie pasipo kuanza kuutazama ukubwa wa mfuko wako , maana Mungu mwenyewe anajua ni namna gani you will be benefited /kufidia palipo pungua
.