Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
sifa mojawapo kuu ya binadamu, kama amekua NW kisha W hali mi mbunge lakini bado ana bado!bado nawinda malisho mazuri zaidi na sijatosheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sifa mojawapo kuu ya binadamu, kama amekua NW kisha W hali mi mbunge lakini bado ana bado!bado nawinda malisho mazuri zaidi na sijatosheka
Mara nyingi watu wanapopata nafasi au fursa fulani, hujiona kama wao pekee ndio wanastahili kustawi, wakisahau kuwa msaada au kuwashika mkono wengine ni njia ya kuongeza baraka katika maisha yao.Kuna dada mmoja mtoto wa Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Uingereza alidhania labda mimi ninalazimisha connection na yeye eti kisa ninawasiliana naye mara kwa mara.
Nilimtupilia mbali kama takataka kwa maana yeye sio Mungu.
Watu wa karibu (ndugu) ni watu wa hovyo sanaNilikumbana na wakati mgumu maishani, hali ilikuwa mbaya. Nilipoteza matumaini kabisa ya kuishi. Watu wangu wa karibu hawakunisaidia kwa vyovyote vile.
Mwisho wa siku, nilipata msaada kutoka kwa mtu ambaye hatufahamiani vizuri. Huyu jamaa alinitoa kwenye shida iliyokuwa inanikabili( connection ya fursa ya ajira)
Nimejifunza wakati mwingine, msaada kuja kutoka sehemu ambazo hatutarajii.