Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Ona huyu!!
 
Amakambo mabhibhi fijho mweee
 
Huko ni kukata tamaa ya maisha kumkufuru mungu tu,hivi wajua mungu waweza kumuomba jambo fulani lakini ye akakupa mbadala?kwa lengo tu kukuepushia hatari anayoiona mbele yako,pia wajua anaweza kukucheleweshea?,,ye ndo anapanga yote hayo,wala hapangiwi!!,,
 
MWENYEZI MUNGU akupiganie kaka

Akupe ujumbe mpya upate kuwaza kwa upya

Usimwache MUNGU bado yuko kazini anakupambania , shetani asikutishe na kukukatisha tamaa

MUNGU ni MWEMA sana na anatoa msamaha kwa kila kosa

Mrudie hujachelewa mtumish
 
Huna adabu kwa Mungu. Mwombe msamaha na tubia uovu wako huu. Mungu ni wa rehema atakusamehe na atakuwezesha kuanza upya.
 
Sahihi kabisa, hata mimi huwa ninajiuliza, kwa nini aliamua nizaliwe Afrika, kwa watu wajinga wanaoamini sana ushirikina.

Anapaswa kuniomba msamaha na mimi. Sikumwambia kuwa nataka kuzaliwa na wazazi masikini.
 
Mungu hakukuleta dunian ila wazaz. Mungu ametengeneza system wazaz walikojoleana ukatoka ww,wala si Mungu.
 
Ukiwa huna tumaini jipya la maisha utaona kila kitu ni kibaya kwako
 
Angefanyaje?
Mungu Mwenye uwezo wote na Nguvu zote, Mwenye upendo wote asingeruhusu mabaya yatokee kwenye dunia ambayo ameiumba.
Mabaya kutokea kwenye dunia ambayo ameiumba wakati yeye ni mwenye Upendo hii inatia ukakasi

Na kama angekuwepo kila mtu angemuona n wala kusingekuwa na hizi sintofahamu.
 
Subiri siku mtakapokutana live umtamkie huo upuuzi wako
 
Wahi mirembe unachangamoto ya akili.

Yaani wewe badala ukawaulize wazazi wako ambao ndo wamekuzaa unakuja kutusumbua huko JF.

Nitoe wito kwa vijana kabla hamjazaa watoto, hakikisha unasababu za msingi za kumleta huyo kiumbe hapa duniani kama huna tumia CONDOM au CHOMOA.

Usije ukawa unatafuta mtoto kwa kufata mkumbo,kwakua umekuta watu katika jamii yako wakifika umri flani lazima waoe au waolewe na kupata watoto. Hakikisha wewe unasababu madhubuti ili siku ya siku mwanao atakapokuuliza uwe na majibu mujarabu.

Kama huna sababu huna hela bora usizae mnatuletea machizi humu duniani.

Hakuna laana na watoto wa leo watawauliza maswali magumu na hamtakuwa na lakuwajibu.Mambo ya kutishia kutoa laana hawa watoto hawatambui na hayana ukweli wowote.

Tafuteni hela!!!Tafuteni hela!!! ndio mfikirie kuzaa,watoto wanataka urithi wao😄😄😄😄

Elimu sio urithi ni wajibu!!!
 
Umekuja duniani kwa hiari yako mwenyewe.
Mzazi wako umemchagia wewe mwenyewe.
Karaha,taabu,mateso unayopata umeyachagua wewe mwenyewe.
 
Mimi Kila nikiamka mafuta Namba za yoyote naona hanipi furaha zaidi ya huzuni kwa wiki lazima nifute Namba mbili minimum
 
Umekula rotten egg😬Ila maandiko yanasema usihukumu usije ukahukumiwa, kumcheka mdhambi mwenzangu ilhali na namimi Nina madhambi
 
Akuombe msamaha! serious? Basi muombe akuondoe
 
Dini zinahamisha magoli na kusema shida zako mpelekee mungu lakini kwa uhalisia shida zako peleka kwa wazazi wako ambao kupitia ubinafsi wao wakutaka sifa kutoka katika jamii walifanya maamuzi ya kukuleta humu duniani bila ya kukuandalia mazingira mazuri ya wewe kuyafaidi maisha.

Vijana chondechondd fanyeni tafakuri kila mnapotaka kufanya NGONO.Mtasaidia sana kufanya maamuzi sahihi JUU YA STAREHE HIYO na kuchukua hatua stahiki.
 
Kindly unawezaje kuaza upya? Yaani Ile umepoteza kila kitu umebaki na uhai tu
Huo uhai na akili yako ni mtaji tosha wa kuanza upya, ila ni pale utakapokubali kuwa sasa hauna chochote na uko tayari kuanzia chini..
 

blasphemy!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…