Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Mambo ambayo nimepitia ni makubwa. Na sidhani kama kuna balaa kubwa ambayo itakuwa zaidi ya mwanzo.
Hakuna Jambo lolote linalomshinda Mungu kaka,

Sasa umewahi liwa na funza kichwani ukateseka kama miaka 10 ndio ulete hizi habari hapa?

Muogope Mungu sana na kumbuka siku zote za maisha yako hapa duniani yeye ndie muweza wa yote.

Ila uamuzi ni wako, maisha ni yako, ukishughulikiwa nae utarud tena hapa, ila ni busara ukamuomba msamaha kwa imani yako.
 
Hu
Huwezi kujua, Endelea kutafakari.
 
Nitake sifa ili iweje?

Mungu anapaswa kuniomba msamaha 🙏
Acha bangi kijana! au kama unataka sifa mtandaoni sawa ila l kama umeongea haya kutoka moyoni naomba utafute msaada Kwa sycologist
 
Wewe unavyomchinja kuku au ng'ombe na kuumla kwani kakukosea nini? We kwa Mungu si kama kuku au ng'ombe tu, we ulivyokuwa na mamlaka kwa wanyama ndio hivyo hivyo Mungu atakuwa Mungu kwako.
Sawa
 
Mungu anapaswa kuniomba msamaha 🙏
Hapa ndo umuhimu wa kuvaa condom unapoonekana au kupiga bao nje. Kuja jamaa mmoja namshauri kila siku avae ndom maana naye alivyo akizaa atatoa mtoto ambaye ni kilaza kama huyu
 
Anayeratibu mipango ya ulimwengu ni Nani?
Umechanganyikiwa mkuu. Mungu alihusikaje kwenye mechi ile unatafutwa. Acha kumtukana Mungu na ukiona unaanza kumtukana Mungu jua unaanza kuchanganyikiwa
 
Mungu anakosa gani wakati amekupa akili mpaka umeweza kufikilia kuandika kuwa Mungu akuombe msamaha,akili hizi ungezitumia kujitafuta ungekuwa umefanikiwa.
 
Ni
Nimependa jibu lako.
 
Aisee..
andiko gumu sana, pole kwa yote! Mungu Akusamehe sana!!
 
kwenye bao mlikua kama milioni kumi hivi we ndo ukajidai unambio kuliko wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…