Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Hakuna Jambo lolote linalomshinda Mungu kaka,Mambo ambayo nimepitia ni makubwa. Na sidhani kama kuna balaa kubwa ambayo itakuwa zaidi ya mwanzo.
Sasa umewahi liwa na funza kichwani ukateseka kama miaka 10 ndio ulete hizi habari hapa?
Muogope Mungu sana na kumbuka siku zote za maisha yako hapa duniani yeye ndie muweza wa yote.
Ila uamuzi ni wako, maisha ni yako, ukishughulikiwa nae utarud tena hapa, ila ni busara ukamuomba msamaha kwa imani yako.