Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Huyo Mungu hata wewe huwezi kuthibitisha yupo mkuu.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Wewe ni Atheist, mimi ni believer
Sipo apa jukwaani kumthibitishia mtu yeyote au chochote kuhusu hilo Mkuu
 
Mkuu acha tuu shukuru upo katika chain ya kujipata ukiwa toka umri mdogo
Mkuu,

Point yngu kubwa ya kupinga uwepo wa Mungu ni problem of evil.

Ni kweli kuna mkoba uoande wa mama na uoande wa baba.

Kwa hiyo hata ningezaliwa nje ya chain ya kujipata, huko ndiko ningekuwa na sababu kubwa zaidi ya kukataa uwepo wa Mungu.
 
Mkuu.... Mi huwa naimani tuu kuna someone anae control...
 
Hii story ya mungu tumepigwa parefu kama kweli yupo basi si wa hivi tunavyohadithiwa
 
Tatizo vijana wa sasa hivi tunapenda kamseleleko ukitingishwa kidogo tu unaanza kukufuru
 
Sasa hivi maisha ya technology na usasa wa ajabu umetufanya kuwa walaini sana tukipitia madhila kidogo tuu tunaanza kulia lia
 
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.

Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.

Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.

Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Wewe kuwa mpole shetani atakuja kukuomba msamaha muda sii mrefu.
 
Tatizo unamuabudi mungu asiye sahihi shida ndo inaanzia hapo ila ungekuwa unamuabudu Mungu alie sahihi alie kuleta hapa duniani wala usingelalamika hapa kama una akili Kb huwezi kunielewa!
Hiyo Mungu sahihi ni nani?
 
Back
Top Bottom