Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

Kuna mda huwa nazani mungu ni universal tu .maana kama kweli yupo ange remit our minds tusifikirie Mungu kaumbwa na nani au alikujaje
 
Alieandika kile kitabu kilimshinda maana yaonyesha hakuwa na maarifa yoyote juu ya mwanzo na hiyo ni mpk sasa!, bado binadamu tunahangaika na hilo swala mwanzo hakuna anaefahamu, nafikiri kuna sheria za kiulimwengu bado hatujazijua!.
 
Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.
"Mungu akasema, "Na liwe anga katikati ya maji (fikiria mbingu) na litenganishe maji na maji (fikiria mbinguni)." Mungu akafanya anga (mbingu ya kwanza) akatenganisha maji yaliyokuwa chini ya anga (mbingu, chini ya anga, yaliyoshika maji yaliyo juu katika mbingu mbili zilizo juu) na maji yaliyokuwa juu ya anga (maji yaliyo juu ya anga. ) Na ikawa hivyo. Na Mungu akaliita anga Mbingu (umoja na mbingu ya kwanza). Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili. Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, na nchi kavu ionekane. Na ikawa hivyo.”

Mwanzo 1:6-9
 
Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.
Uko karibu sana. Mungu alitumia “kuumba” kwake, “kutengeneza” na “kuanzisha” kudhihirisha uwezo na Uungu wa Muumba wetu. Uko sahihi kwamba Neno lilikuwa halionekani wakati huo. Lakini Mungu alitumia maji yasiyoonekana na vitu “vilivyofanywa” na “kufanywa” kutoka kwao, ili kutusaidia kuelewa mambo yake tangu kuumbwa kwa ulimwengu (Warumi 1:19-20). Maji yaliyoumbwa yasiyoonekana ni aina TU ya NENO la Mungu - mwanzo wa uumbaji wa Mungu - ambapo "vitu vinavyoonekana" vyote "vilifanyika". Unakaribishwa kila wakati
 
Habar za jion wakuu
I hope mko good.

Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na mashaka naye hakuyaumba maji

Kwanini ninasema hivyo?

Kwasababu katika kusoma biblia sjaona mahali palipo andikwa kuwa mungu aliyaumba maji(kama kuna mtu anaushahidi aulete). Hivyo kwa akili yangu nafikiri kuwa maji ni kitu ambacho ni cha kale katika dunia kwa kiasi cha kuwa yana kumbukumbu ya kila kitu kilicho tokea duniani tangu kale.

Pia nina imani maji yana nguvu za uponyaji alafu pia maji ni muhitajika muhimu sana wa viumbe vyote vilivyo hai ulimwenguni hivyo maji yana nafasi kubwa katika maisha ya hapa duniani.

Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.

Asanteni nafungua mjadala.
Unajua kua binadamu tunaweza tukawepo somewhere pasipo hata kuwepo dunia wale elements zinazo support uhai.

Hii bila F tatu (3F) za NECTA huwezi kuelewa/ na hata ukiwa na A tatu(mabanda 3) ili uelewe itakubidi utumie ZERO knowledge ya ya darasani.
 
Habar za jion wakuu
I hope mko good.

Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na mashaka naye hakuyaumba maji

Kwanini ninasema hivyo?

Kwasababu katika kusoma biblia sjaona mahali palipo andikwa kuwa mungu aliyaumba maji(kama kuna mtu anaushahidi aulete). Hivyo kwa akili yangu nafikiri kuwa maji ni kitu ambacho ni cha kale katika dunia kwa kiasi cha kuwa yana kumbukumbu ya kila kitu kilicho tokea duniani tangu kale.

Pia nina imani maji yana nguvu za uponyaji alafu pia maji ni muhitajika muhimu sana wa viumbe vyote vilivyo hai ulimwenguni hivyo maji yana nafasi kubwa katika maisha ya hapa duniani.

Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.

Asanteni nafungua mjadala.
Wewe ni kichaa kabisa. Period.
 
Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.
Uchambuzi wa Kikemikali wa Kimaandiko wafunua kwamba hapo mwanzoni Mungu aliumba kundi moja lenye mipaka la maji yenye gesi isiyoonekana ambayo yalijaza eneo moja lenye umbo la duara la anga ya juu. Nuru ilifanywa haraka kwa mujibu wa Sheria mpya ya Nishati iliyoamriwa na muda ulioitwa Siku ulianzishwa kwa amri.

Siku ya Pili Mungu alifanya na kuweka anga inayogawanyika. Anga hilo hapo awali lilikuwa ni agizo thabiti lililotolewa la kugawanya kundi moja la awali la maji ya gesi yasiyoonekana katika sehemu mbili tofauti za maji—uso kwa uso—mwili mmoja mdogo wenye umbo la duara katikati na wakati huohuo chini na kuungana na mwili uliosalia. Kisha mara moja aliita sheria hiyo ya kugawanya, Mbingu baada ya moja tu ya miili miwili ya maji ya gesi isiyoonekana.

Siku ya Tatu Mungu aliumba Dunia na akafanya Bahari za dunia kutoka kwa maji chini ya anga ili kudhihirisha ulimwengu huu wa kidunia unaoonekana.

Siku ya Nne Mungu aliumba mianga ya mbinguni, malimwengu, na vitu vyote vilivyomo kati yake kutoka kwenye maji ya mbinguni.

Mambo haya kila moja yalitimizwa kwa ghafla na Neno la Mungu na yote yalifafanuliwa kwa uwazi na kwa usawaziko na Neno lile lile la Mungu ili kudhihirisha nguvu Zake na Uungu Wake katika vitu vile alivyovifanya.
 
Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.
Ni muhimu kutambua kwamba maji yalikuwepo siku ya kwanza. Kwa hakika, jambo pekee ambalo linaonyeshwa kuwa lilikuwepo siku ya kwanza lilikuwa ni maji.

Zaidi ya hayo vitu vyote vinavyoonekana—vilifanywa kutokana na maji hayo yasiyoonekana. Jiangalie mwenyewe kwa usomaji rahisi wa maandishi.

Maji ndiyo kitu pekee ambacho Mungu aliumba Siku ya Kwanza na kwamba maji hayo yalikuwa kama gesi isiyoonekana katika “hali” yao bila umbo lolote, na utupu, au kujaa utupu.
 
Kama kuna mtu anahoja juu ya hili ailete tujuzane vizuri.
Maji yasiyoonekana kama ya gesi yaliumbwa Siku ya Kwanza kama mwili mmoja wa vitu viwili na kuitwa "mbingu na ardhi."

Maji yanayoonekana yalipatikana baadaye--Siku ya 3--"yalifanywa"--hayakuumbwa--hayakufanyika popote katika maandiko utapata kwamba maji ya kioevu yaliumbwa au kutengenezwa bali iliundwa kama "nishati." Nishati hiyo ilibadilishwa kutoka kwa maji yasiyoonekana na Roho wa Mungu akipepea juu ya maji kulingana na Sheria ya Nishati iliyowekwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom