Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Elewa haya maelezo ya wanachuoni Kwanza

Sheikh al khattab Undoubtedly the reports in the books of al-Bukhaari and Muslim take precedence, according to the critics and scholars, than those in other books and Musnads.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeona imeandikwa sahih?

 
Kusujudu Jua linasujudu limesimama ? Tumia akili
Linaenda kwenye kiti Cha Allah kusujudu na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji , embu connect dots

Ingine hii Muhammad kapigilia msumari
Hadithi hiyo ni dhaifu nimekupa sahihi ya Bukhary na muslim

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeingia humu ukaona imeandikwa dhaifu, au imeandikwaje

Soma maneno ya masheikh kwanza kichwa wewe humo ndipo kuna mwalimu au we unadhani sis elimu yetu iko Google tu sio

Al khattab
Undoubtedly the reports in the books of al-Bukhaari and Muslim take precedence, according to the critics and scholars, than those in other books and Musnads.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dhaifu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umegusa link ? Au unaropoka tu , unatuka ndugu zako waislamu walioweka Dunia tusome na wameweka grade kutujuliaha ni sahih , tukiwa tuna dabate ukafikia mpaka kukana maandiko Yako sina nafasi na wewe tena

 
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Upumbavu wako uta kuponza una bishana na mtu wa quran na hadithi hapa

Hadithi zilizo andikwa sahihi ni zaidi hiyo yako maana yake ni zaidi ya moja ndio maana imeandikwa sahihi fil musnad

Maana yake ni sahihi kwa aina ya upokezi tu na kama ingekuwa sahihi hadithi isinge pingana na ya Bukhary na muslim hawa ndio wapokeaji wakubwa wa hadithi na unalijua hilo sababu ya pili kuku wewe ni hii

Al-Bazzaar said: We do not know that anyone narrated it from al-Hakam ibn ‘Utaybah, from Ibraaheem, from his father, from Abu Dharr except Sufyaan ibn Husayn. Yoonus ibn ‘Ubayd narrated it from Ibraaheem at-Taymi, Sulayman al-A‘mash and Haroon ibn Sa‘d.

Na ina sababu nyingi tu za kuonyesha udhaifu
Ndio maana imeandikwa sahihi in chain na sio hadithi yenyewe kuku wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haujaleza chochote cha maana zaidi ya hoja za kuungaunga. Swali ulilouliza kuhusu ishara inayoelezwa kwenye Kitabu cha Ufunuo ni la ovyo sana. Mtu kaeleza kuwa aliona ishara mbinguni ( just signs) afu unauliza hii ishara inawezekana vipi wakati mwezi ni mkubwa kuliko dunia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Inaelekea hata kiswahili hukijui au Kama ndiyo unaendeleza mafundisho ya Kanisa lenu la kudanganya. Hivi wapi nimeandika mwezi ni mkubwa kuliko dunia?
 
Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.

Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Nimeuliza hivyo kwasababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.

Je, mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?

Ahsante.
Nawewe mtoa mada hata kunukuu huwezi wapi hapo kataja kisima katika hizo aya acheni ujuaji quran si kitabu cha masikhara kina hitaji watu wenye akili timamu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom