Umeona imeandikwa sahih?Elewa haya maelezo ya wanachuoni Kwanza
Sheikh al khattab Undoubtedly the reports in the books of al-Bukhaari and Muslim take precedence, according to the critics and scholars, than those in other books and Musnads.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hadithi hiyo ni dhaifu nimekupa sahihi ya Bukhary na muslimKusujudu Jua linasujudu limesimama ? Tumia akili
Linaenda kwenye kiti Cha Allah kusujudu na chini ya kiti Cha Allah Kuna maji , embu connect dots
Ingine hii Muhammad kapigilia msumari
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
na Bukhary au muslimUmeona imeandikwa sahih?
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Umeingia humu ukaona imeandikwa dhaifu, au imeandikwajeHadithi hiyo ni dhaifu nimekupa sahihi ya Bukhary na muslim
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaacha kuamin qur'an unang'ang'ania hadith [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gusa link kawashauri walio weka sahih wafute kwani wewe ni mjuzi kuliko wao
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Niambie imeandikwaje grade ?
Soma maneno ya masheikh kwanza kichwa wewe humo ndipo kuna mwalimu au we unadhani sis elimu yetu iko Google tu sioUmeingia humu ukaona imeandikwa dhaifu, au imeandikwaje
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Hadith ni Muhammad kaelezea verse ya kuzama kwa JuaUnaacha kuamin qur'an unang'ang'ania hadith [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni website ya waislamu na ndio wameweka grade na Dunia nzima inasomaSoma maneno ya masheikh kwanza kichwa wewe humo ndipo kuna mwalimu au we unadhani sis elimu yetu iko Google tu sio
DhaifuHadith ni Muhammad kaelezea verse ya kuzama kwa Jua
Gusa link
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Kwa hiyo kua dunia nzima inasoma ndio haiwi dhaifuHii ni website ya waislamu na ndio wameweka grade na Dunia nzima inasoma
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Umegusa link ? Au unaropoka tu , unatuka ndugu zako waislamu walioweka Dunia tusome na wameweka grade kutujuliaha ni sahih , tukiwa tuna dabate ukafikia mpaka kukana maandiko Yako sina nafasi na wewe tena
Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutuKwa hiyo kua dunia nzima inasoma ndio haiwi dhaifu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upumbavu wako uta kuponza una bishana na mtu wa quran na hadithi hapaIfungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu
Inaelekea hata kiswahili hukijui au Kama ndiyo unaendeleza mafundisho ya Kanisa lenu la kudanganya. Hivi wapi nimeandika mwezi ni mkubwa kuliko dunia?Haujaleza chochote cha maana zaidi ya hoja za kuungaunga. Swali ulilouliza kuhusu ishara inayoelezwa kwenye Kitabu cha Ufunuo ni la ovyo sana. Mtu kaeleza kuwa aliona ishara mbinguni ( just signs) afu unauliza hii ishara inawezekana vipi wakati mwezi ni mkubwa kuliko dunia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hio sio hadith sahih qur'an inasema chemchem ya tope jeusi na sio chemchem ya maji ya moto.Hadith ni Muhammad kaelezea verse ya kuzama kwa Jua
Gusa link
Search Results - Search Results - Hamiyah (page 1) - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Hadith of the Prophet Muhammad (saws) in English and Arabicsunnah.com
Yani wanaokoteza okoteza huko alafu wanajiona ndio washa somaHio sio hadith sahih qur'an inasema chemchem ya tope jeusi na sio chemchem ya maji ya moto.
Wambie warekebishe ndo uje tujadili.
Nawewe mtoa mada hata kunukuu huwezi wapi hapo kataja kisima katika hizo aya acheni ujuaji quran si kitabu cha masikhara kina hitaji watu wenye akili timamu.Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Nimeuliza hivyo kwasababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.
Je, mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?
Ahsante.
Wanadanganyana makanisani [emoji23][emoji23][emoji23]Yani wanaokoteza okoteza huko alafu wanajiona ndio washa soma
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi kwanin masister wanavaa vitambaa kichwan meanwhile wakristo wa kike hawavai.Ifungue na u screen shot palipo weka grade , alafu paste humu , fanya hivyo kama una uthubutu