Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

Uko sahihi kusema viroja kwa sababu uwezo wako wa kuchakata taarifa, kuona uwezekano na kutafisiri ni hafifu sana hivi kwamba nakuweka kundi moja na mnyama asiye na busara.

Ovyo kabisa.
Taarifa ni nini?
 
Unataka uthibitisho wa binadamu ilhali wewe mwenyewe ni binadamu.

Huoni kwamba unauliza swali lisilo na mantiki?

Ndio maana uka ambiwa unauliza swali la kitoto.

Unataka uthibitisho upi kutoka kwangu kwamba mimi ni binadamu ilhali wewe mwenyewe hujijui?
 
Sasa huyo Mungu unaanza kukusanya data gani? Unapata wapi data za kuchakata kujua malaika? Kwa kusoma Wagalatia 2?
Mkuu.

Neno Mungu ni jina tunaloita Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili. Sio neno la kufikirika au kusadikika kama unavyoweza kufikiri. Sio ndoto; au kwamba kikundi tu cha watu kiliamka na kusema kuna Mungu na watu wote wakafuata.

Kila kabila na kila taifa popote duniani kwa lugha yao wana neno wanaloita Uwepo Huo wa Hali ya Juu Wenye Akili. Mungu kama mtengenezaji Mkuu wa ulimwengu, amekuwa sababu na msingi wa utafiti wote tangu kuanza kuwepo kwa mtu duniani.

Kanisa Katoliki kwa mfano, ndio mtafiti mkuu duniani. Maisha na historia yote ya mwanadamu duniani anatafiti huyo Mtengenezaji Mkuu wa ulimwengu. Sasa kwa jinsi gani unasema Mungu ni wazo la kufikirika? Imetumia vigezo gani kufikia hitimisho hilo? Ni ushahidi gani wa kisayansi ambao unathibitisha au unasema Mungu ni wazo la kufikirika?
 
Unathibitishaje huo " uwepo wa hali ya juu wenye akili" upo?

Na huo "uwepo wa hali ya juu wenye akili " ulianzaje?

Ulianzia wapi?
 

Kanisa Katoliki kwa mfano, ndio mtafiti mkuu duniani.
☝️Hii ni Statement uchwara ya uongo.
 
Unataka uthibitisho upi kutoka kwangu kwamba mimi ni binadamu ilhali wewe mwenyewe hujijui?
Eleza ni nini kinakufanya wewe useme ni binadamu na sio mtu?

Onyesha huo ushahidi kwamba wewe ni binadamu?
 
Unataka uthibitisho wa binadamu ilhali wewe mwenyewe ni binadamu.
Una ushahidi unaonyesha yeye ni binadamu na sio mtu?

Kama yeye ni mtu na sio binadamu, una ushahidi wa hilo?
 
Hana jibu na hawezi kukujibu na hata akijibu atapuyanga tu.

Wewe uko vizuri hapo ulipo au tuje kukufunga kamba.

Haya uliyoyaandika inaweza tuyaongea bila kuyasoma.

Kama huwezi na uko mzima kabisa tuambie umeCnP kutoka kitabu au jarida gn. Nani author.

Kama ni wewe mwenyewe unapaswa kuwa mwandishi wa script ya series kama isidingo.

Nakuuliza hii script ni msaada wa AI. Nauliza hivyo kwa kuwa umeuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Ndio maana nahisi wewe makazi yako ni milembe. Kwani si mtu wa kawaida.

Nikuulize na wewe. Je kuna wakati unajiongopa wewe mwenyewe.

Pili je kuna wakati inajihisi umetengana na mwili wako kama ambavyo mimi hunitokea.

Kama ni hivyo basi wewe ni kwa mtu wa unaetumia muda mwingi kujitenga na wengine ukisoma na kutafakari.

msingi wa swali hako ulijibiwa karne ya 18 na Fredrich Nietzsche.

Yeye alijibu imani ya kikristo kuwa Mungu ni yesu.

Akakana uwepo wa Mungu kwa mantiki kuwa kama yesu aliuwawa na baada ya hajaonekana tena; na kwa kuwa dunia imetapataa uovu basi ni hakika Mungu kauwawa.

Na kwa kuwa Mungu kauwawa. Na mambo yote aliyoyaleta ikiwemo dini hayana maana tena. Na ndipo akaintriduce serikali za kisekyula. Na Usekyula unaanza rasmi.

Kwa ufupi kama wewe inakubali mfumo wa Usekyula, kwa maana serikali au taifa lisilo na dini. Sio tu halina dini, bali ni kwamba unaamini Mungu hayupo, Mungu kauwawa. Sasa kwenda zako kanisani hakuna maana yyt zaidi ya kuweka kundi la watu wako contaminated na kuchanganyq mambo. Kwa jicho la mtu wa tatu anakuona uliyechanganyokiwa.

Hata hivyo binafsi msingi mkono Usekyula haya hivyo simuumgi mkono Fredrich.

Kwa ufahamu nilionao kwa kuongozwa na Quran maana ya Mungu ni Shetani.

Halafu kuna Mungu mwenye Enzi. Au Mwenyezi Mungu. Si akili bali ni uwezo wenye kuweza uliowezwa. Kwa ufupi ndio mnaita universe.

Halafu kuna universal law kwa maana guide au manual aliyoitoa mwenye Enzi Mungu kwa kile alichokiumba. Kama vile Microsoft walitengeza kompyuta na kuweka manual. Ndivyo Eloi alivyotengeza wanadamu na kuwapa universal law. Kwasasa ni Quran.

Kwanini kuna machafuko, na uhai una maana gn kwa mwanadamu.

Jibu no hili machafuko hutokea kwa sababu ya kuacha kutumia manual ya mwombaji. Inaanzia wapi.

Kwa mujibu wa Quran wanadami wote kuzaliwa wakiwa ni waislam lkn wazazi wao huwabadili na kuwa waabudu masanabu au waabudu moto. Jiulize kwanini unabatizwa. Ni kwasababu unabadilishwa kutoka kuwa muislam na kuwa kuabudu sanamu.

kuacha kutumia manual Eloi kasema ndani ya Quran 2:190-193 kuwa kinaleta mateso na mauwaji (percecution) au fitna.

Na kwanza ni haki ya kwanza kwa mwanadamu aww tayari kupoteza maisha kuliko kuiacha fitna itawale.

Karibu ndugu kutengeza hii script kama ya isidingo
 
Una ushahidi unaonyesha yeye ni binadamu na sio mtu?

Kama yeye ni mtu na sio binadamu, una ushahidi wa hilo?
Hata huelewi tulichokuwa tuna ongea una dandia gari kwa mbele.
 
Sasa kwa jinsi gani unasema Mungu ni wazo la kufikirika? Imetumia vigezo gani kufikia hitimisho hilo? Ni ushahidi gani wa kisayansi ambao unathibitisha au unasema Mungu ni wazo la kufikirika?
Mkuu ni vyema ukatupa huo uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu sio dhana ya kufikirika (imani) bali ni kitu halisi na kinathibitika
 
Swali la kitoto eh ?? Hivi ndivyo tunavyowaona mnapotuuliza tuwathibitishie kuhusu Mungu hasa kwa njia mnazozitaka nyinyi
 
Swali la kitoto eh ?? Hivi ndivyo tunavyowaona mnapotuuliza tuwathibitishie kuhusu Mungu hasa kwa njia mnazozitaka nyinyi
Ndio maana tuna waambia huyo Mungu wenu ni mafikirio yenu tu hayupo katika uhalisia.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.

And you are admitting that.
 
Ndio maana tuna waambia huyo Mungu wenu ni mafikirio yenu tu hayupo katika uhalisia.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.

And you are admitting that.
Upo tayari kumuona Mungu kupitia nguvu zake ?

Tufanye jambo
 
Upo tayari kumuona Mungu kupitia nguvu zake ?

Tufanye jambo.
Huyo Mungu kama ana nguvu aje hapa ajidhihirishe mwenyewe na hizo nguvu zake.

Huyo Mungu angekuwa ana nguvu angesha jidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Mnahangaika sana kumwelezea huyo Mungu kwa vile hayupo kujidhihirisha mwenyewe wala hawezi kuja hapa kujitetea kwamba yupo.

Ni ninyi tu mnatapatapa kueleza fictional character.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu hawa watu wanashambulio la akili linaitwa imani ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…