Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ni ufahamu katika ulimwengu unao onekana na kuthibitishika upo.Huo mchakato wote (observation na majaribio) mpaka ugunduzi wa mitambo unafanyika au inategenezwa, ni jambo la ufahamu au sio jambo la ufahamu?
ninyi wajuaji sana mnajitekenya na kucheka wenyewe.Ulimwengu hauna chanzo, Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Huyo Mungu mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe wala hawezi kujidhihirisha kwamba yupo.ninyi wajuaji sana mnajitekenya na kucheka wenyewe.
kubalini kwamba Mungu yupo kama anavyosimuliwa na Biblia na qorani ikanakili hivyo
Mungu hana chanzo ,alikuwepo na ataendelea kuwepo
huwezi amini za kufikirika, ukakataa ukweli uliosimuliwa
Malaki 3:6 na Waebrania 13:8 zote mbili zinatangaza kwamba Mungu ni yeye yule siku zote na habadiliki kamwe. Yeye ni mzuri kila wakati, mwenye upendo kila wakati, mwenye nguvu zote. Haijalishi jinsi ulimwengu huu unavyobadilika karibu nasi, tunaweza kuamini kwamba Mungu ni thabiti. Ni yeye yule jana, leo, na hata Milele!
Nimekueleza hili awali na nafikiri ama unachanganya au hujaelewa.Uwepo huo wa hali ya juu wenye ufahamu ndio huo ulimwengu wenyewe.
Kuita uwepo huo mara sijui nguvu/ Akili/ Mungu ni kupachika pachika tu majina uchwara.
Uwepo huo wenye ufahamu wa hali ya juu ndio ulimwengu.
Ulimwengu ni kila kitu na kila kitu ni sehemu ya ulimwengu.Nimekueleza hili awali na nafikiri ama unachanga au hujaelewa.
Unachochanganya ni ulimwengu.
Ulimwengu ni nini?
Jibu au fuatilia ulimwengu maana yake ni nini?
Kwa maneno mengine unakubali kuwa observation na majaribio, ni mambo yalio na yanayofanyika kwa akili; na ugunduzi au mitambo ni pia mambo ya akili.Ni ufahamu katika ulimwengu unao onekana na kuthibitishika upo.
Ni ufahamu unao tokea ndani ya ulimwengu unao onekana na unaoweza kufanyiwa observation na majaribio..
Kuwa kitu maana yake ni nini?Ulimwengu ni kila kitu na kila kitu ni sehemu ya ulimwengu.
Yanafanyika na binadamu sio akili.Kwa maneno mengine unakubali kuwa observation na majaribio, ni mambo yalio na yanayofanyika kwa akili; na ugunduzi au mitambo ni pia mambo ya akili.
Kuwa kitu ni kuwepo kitu.Kuwa kitu maana yake ni nini?
Binadamu ni mnyama au sio mnyama?Yanafanyika na binadamu sio akili.
Akili ni neno la kutungwa tu, kuonyesha ufanyaji kazi wa ubongo.
Kitu kinawezekana kuwepo pasipo kufanyika au kutengenezwa?Kuwa kitu ni kuwepo kitu.
Binadamu sio mnyama ila ana baadhi ya sifa zinazo fanana na mnyama.Binadamu ni mnyama au sio mnyama?
Hapana ubongo upo kwa kila kiumbe, ila ubongo wa binadamu ndio wenye uwezo mkubwa wa ufanyaji kazi ambapo uwezo huo ndio uliitwa Akili.Je, binadamu ndiye kiumbe mwenye ubongo peke yake kati ya wanyama wote waliopo?
Unafanya kazi ila si kwa kiwango kikubwa kama ulivyo ubongo wa binadamu.Je, ubongo wa wanyama wengine haufanyi kazi?
Ndio ni tofauti kwa sababu binadamu sio mnyama...Je, ufanyaji kazi wa ubongo wa wanyama wengine, ni tofauti na ufanyaji kazi wa ubongo wa binadamu?
Ndio kinawezekana.Kitu kinawezekana kuwepo pasipo kufanyika au kutengenezwa?
Umethibitishaje hilo.Unafanya kazi ila si kwa kiwango kikubwa kama ulivyo ubongo wa binadamu.
Kwa sababu binadamu sio mnyama, tunashea sifa chache tu za wanyama.
Umesoma bailojia au hata umejinza bailojia?Ndio ni tofauti kwa sababu binadamu sio mnyama...
Binadamu hushea sifa chache za wanyama.
Kumwita binadamu mnyama kwa vile tu hushea sifa chache na wanyama ni sawa na kusema Twiga ni binadamu kwa vile binadamu ni mnyama.
Lakini kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana wa binadamu na mnyama na huwezi kuwafananisha kwenye kila kitu.
Kitu kinawezekana kuwepo pasipo kufanyika au kutengenezwa?
Je, twiga hana milango ya fahamu? Na binadamu hana milango ya fahamu?Ni sawa na kusema Twiga(mnyama) ni binadamu kwa vile binadamu ni mnyama.
Na kwa jinsi gani kiumbe kiwe na sifa ya binadamu lakini kisiwe binadamu?Je, twiga hana milango ya fahamu? Na binadamu hana milango ya fahamu?
Ni kiungo gani muhimu ambacho binadamu anacho lakini twiga hana?
Kwa jinsi gani kiumbe kiwe na sifa ya kufanana na mnyama lakini kisiwe mnyama?
Ubinadamu wa twiga ni upi?Kwa nini Twiga sio binadamu?