Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani

Moto uliwekwa na wajanja ili uamini katika dini yao. Hebu tumia akili ndogo tu kufikiri "Mungu mwenye uwezo wote amtoe mwanae kafara kama wanavyofanya binadamu??". Hata ufufuko siamini, ni maujanja tu.
 
Dini zote kama hazimkiri Yesu, wote wataenda motoni.

Kuzimu yupo mungu wao, na huyo allahu ni mmoja wa miungu ya huko.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Kwahyo ukimkiri yesu afu ukawa unalawiti na kubaka watoto na kufanya unyanyasaji wa kingono Kwa wanawake na kuwadhulumu watu Mali zao na kuzini na wake za watu na Kila aina ya uchafu je utaenda mbinguni kwakuwa tu unamkir yesu 🤔 je Kuna dini inapeleka mtu mbinguni? Je kuwa tu muislamu au mkristo ni tiketi tosha ya kwenda mbinguni?🤔. Vitu vingine viko wazi tu Haina haja ya kukingiana vifua kutetea dini zetu zilizoletwa na wazungu na waarabu , kanuni kuu ya maisha ni kutomtendea binadamu mwenzako ubaya tu Yani vitu kama wizi ubakaji ulawiti dhuluma mauaji na machafu mengine yote ambayo sio ya kibinadamu yanawakwaza wengine. Kama Kuna dini inapeleka mtu mbinguni naomba kufahamu mana hata hizi dini zenyewe zinahimiza matendo maovu humpeleka mtu motoni . Anyway swala la Imani ni Kila mmoja ña nafsi yake wewe unatetea ukristo Kwa vile umezaliwa katka familia ya kikristo. Mfano nchi yetu dini zenye wafuasi wengi ni ukristo na uislam ila ukienda china asilimia kubwa ni Buddhist hii dini haiamini kabisa mambo ya kiroho ambayo hayaonekani mfano shetani ,MUNGU,uchawi na kadhalika pia kama ungezaliwa India ungejikuta upo ktk dini kuu za uko kma vile uhindu ,naagin na nyengne nyng tu .Duniani Kuna dini 4200 ambapo dini kuu zenye wafuasi wengi ni ukristo na uislam. Mi nna Imani kama hukumu IPO na MUNGU yupo basi hawezi kukukhukumu eti hukuwa mkristo au muislamu Bali utahukumiwa kulingana na matendo Yako full stop. Haiwezekani uwe mchungaji, padri au shehe afu unalawiti watoto na kutembea na wake za watu afu dini ikulinde ety Kwa kuwa ww n mkristo au muislamu basi utaenda peponi bila shaka yoyote Ile 😂 pia dini ni mfumo tu wa maisha watu kujumuika pamoja kumtafuta MUNGU muumba mbingu na nchi mfano kwny biblia Kuna mstari umeandika dini ya kweli ni Ile ya kuwasaidia wenye shida yatima Kwa wajane. Pia kwny biblia Kuna sehem inasema amri KUU nawapa nayo ni mapendo mpendane ko MUNGU anawaasa mpendane na Wala sio muanze kujibizana eti dini ipi ni sahihi . Ushauri wangu ni Kila mmoja aheshimu dini ya mwenzake kama ww mkristo unatakiwa uiheshimu dini zingine vile vile waislamu pia.Mwisho ata serikali Ina himiza uhuru wa kuabudu Kwa Kila raia ana haki ya kuabudu dini yoyote Ile ili mradi asikiuke Sheria kanuni na taratibu za nchi ko hizi mambo sijui za kukojolea au kuchoma moto vitabu vya dini biblia na Quran sio jambo zuri kabisa kwa muumba wa mbingu na nchi ndomana akasema AMRI KUU nawapa nayo ni MAPENDO mpendane ninyi Kwa nini . Tuache kujifanya wafia dini wakati dini tumezikuta na tutaziacha siku ya mwisho utakuwa ww mwnyw hautakuwa na dini hautazikwa na hiyo dini Yako na kama hukumu utahukumiwa kulingana na matendo Yako.
 
Kama unapenda majini na mapepo na unayatumia kupata utajiri haramu
Ni uchaguzi wako ukifa tutaenda kuishi kwa mapepo na jini yako
 
Nakubaliana na wewe hakuna moto wowote wa kuchoma binadamu. Sababu ninazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…