Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Naskia Allah anasifa 99 tu.
hana zaidi ya hapo.
hata mimi nimemzidi kwa sifa nyingi.

Allah ni Mmoja tu, hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, HAFANANI NA KITU CHOCHOTE, hana mwanzo na wala hana mwisho, Muumbaji wa vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni... hao waungu wengine wanao fanana na Binadamu, Waislam hawawatambui
 
Mungu na Allah wote ni wahusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo hakuna Mungu wala Allah.

Yani hata huyo Allah au Mungu ukichambua habari zake utaona contradictions zinazoonesha hii ni story ya kuungaunga ya watu tu.
Watu gani hao walioungaunga hizo story? Walikuwa wanakaa nyumba moja?
 
Allah ni Mmoja tu, hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, HAFANANI NA KITU CHOCHOTE, hana mwanzo na wala hana mwisho, Muumbaji wa vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni... hao waungu wengine wanao fanana na Binadamu, Waislam hawawatambui
Hizo ni imani tu na kila mtu ana yake na ndio maana mtu anaweza akaamua kuabudu chochote kile anachopenda na bado akawa hajavunja sheria.

Hakuna imani ambayo inaweza ikakubalika na dunia nzima kwamba ndio sahihi na haitokaa iwe hivyo mpaka mwisho wa dahari.

Take Care πŸ’… πŸ’… 😘
 
Allah ni Mmoja tu, hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, HAFANANI NA KITU CHOCHOTE, hana mwanzo na wala hana mwisho, Muumbaji wa vilivyopo Duniani na vilivyopo Mbinguni... hao waungu wengine wanao fanana na Binadamu, Waislam hawawatambui
sawa ila mimi nimemzidi sifa huyo Allah.
Allah anasifa 99 tu.
mimi nina sifa nyingi kumpita Allah.
hivyo bora mimi niwe mungu wenu kwakuwa namzidi sifa huyo Allah.
Umenielewa lakini ?
 
sawa ila mimi nimemzidi sifa huyo Allah.
Allah anasifa 99 tu.
mimi nina sifa nyingi kumpita Allah.
hivyo bora mimi niwe mungu wenu kwakuwa namzidi sifa huyo Allah.
Umenielewa lakini ?

Kiongozi, Unaweza kuwa na sifa hata 1000 ila za kipuuzi tu

Mfano; nimesema ni muumba wa vilivyopo Duniani na vilivyopo mbinguni
1. Hebu umba kiumbe chako mwenyewe hata hata sisimizi na umpe uhai
2. Au fanya siku mbili mfulululizo kusiwe na usiku (iwe mchana tu)
Acha kufananisha Allah na vitu vya ajabu ajabu!
 
Mungu wako anaitwa nani?
 
Tuache Tulale maana usingizi mtamu kima we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…