Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Nami nitakuuliza swali ukinijibu sawa..kwanza ongera kwa kuliandika jina la YEHOVA vizuri..Je unajua maana Yake..nenda kasome kwanzia Mwanzo 3 :13 alafu urudi...nipo pale nimekaa nakusubiri.
Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
 
Nyinyi wakristo tukikuambieni kuwa hamumjui Mungu aliyekuumbeni mnaona tunawakashifu

Katika Uzi hu hu Kuna wakristo wenzako wengi tu Wanasema Yesu ndio YEHOVA alafu wewe unasema YEHOVA ndio baba na Yesu ni mwana

Usilolikia hata huyo YEHOVA ni Mungu wa uongo

Kama unao ushahidi kuwa Mungu alijitambulisha Kwa Musa kuwa yeye ni YEHOVA weka hapa maana neno YEHOVA ni kigiriki sio kiebrania

Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
Ni neno linalotokana na kigiriki
Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
Ukijua maana yake ndo uniulize katafute maana yake alafu soma maandiko....
 
Kama YEHOVA ni neno linalotokana na Lugha ya kigiriki basi tambua kuwa Mungu hajawahi kujiita yeye ni YEHOVA
Kwann ulijiita jina ulilonalo sasa,oooh au kwann wazazi wako walikupa jina ulivyo zaliwa 🤔 kuna maana nyuma yake kila jina lina maana ...Amka ulipo kaa umekalia akili bro🤫🤫😂😂😂
 
Si kweli hata siku moja, unajidanganya tu. Madrasa wangekuwa wanafundisha mambo ya divinity vitoto vya Kiislam vingekuwa mbali mno kiakili, matokeo yake nadhani hata wewe mwenyewe unayajuwa, vimejawa na unafiki na joho ya kufuga majini ili wawe wanawatumia kwa jailli ya chuma ulete.
Kiuhalisia na ukweli ni kwamba hamna msomi wa madrasa anayefundishwa kufuga majini kama unavyoamini, madrasa wanafundishwa kumjua Mungu na kutekeleza wajibu kama binadamu aliyeumbwa ili amuabudu Mungu, na ndio maana hamna Ostadh wa kweli anayenadi kuhusu miujiza au pesa za ajabu, hao unaowaona wakifanya hivyo sio watu wa dini ya kiislamu bali ni washirikina waliozaliwa kutokana na wazazi wenye kuamini juu ya uislamu tofauti na wakristo ambao ni viongozi wa kanisa au wanamiliki makanisa na wanafanya ushirikina at the same.
 
Kwann ulijiita jina ulilonalo sasa,oooh au kwann wazazi wako walikupa jina ulivyo zaliwa 🤔 kuna maana nyuma yake kila jina lina maana ...Amka ulipo kaa umekalia akili bro🤫🤫😂😂😂

Sio wewe tu wakristo wote jina la Mungu aliyekuumbeni hamlijui na Wala sifa zake hamzijui

Na ndio maana wengine wanasema Mungu wapo 3

Wengine wanasema Kuna Mungu baba na Mungu mwana

Wengine wanasema Mungu huyo huyo alijigeuza binadamu akaja kuishi Duniani akapanga chumba katika nyumba ya mzee Nathaeli pale Jerusalem

Hizo zote ndio hizo sifa za Mungu wenu wa kigiriki anayeitwa YEHOVA

Ila Mungu muumba mbingu na aridhi aliyejufunua Kwa Musa ni mmoja tu yupo peke yake na hajawahi kujiita YEHOVA
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Yani nawashangaa sana wanopojibu hoja kupitia maandiko Yani wanayaamini asilimia 💯 hawatak at kutilia shaka kwamba yaliandikwa na watu
Ivi waandishi wa Quran n nani??
Au muhamad aliandika afu akawapatia
 
Wataalamu wa dini mje hapa?

Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?

Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)

Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.

Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).

Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).

Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.

Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua

Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.

Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?

NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Kaka jitathimini sana
 
Mzee we uliozaliwa uyo MUNGU akiwa yupo tayari ndani Yako ama ulifundishwa na dini uliyopo kuwa Kuna MUNGU na kukaririshwa?🤔
Fanya jaribio zaa mtoto muweke mbali na jamii kabisa asijue chochote akifika miaka 7 au kabla siku Moja utamkuta anaabudu hili halina shaka
 
Back
Top Bottom