Kwahiyo Wazungu ndivyo walivyo kudanganyeni kuwa yule YEHOVA aliyemtokea Nabii Musa ndio Yesu?
Akazaliwa
Akavalishwa nepi
Akajinyea na kujikojolea
Mariam ahawa anamsafisha
Akawa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Nazareth
Akawa fundi seremara akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki
Akapanga chumba katika nyumba ya mzee Nathaeli pale Jerusalem
Vipi na maandiko ambayo yanasema Yesu sio Mungu Huwa mnayaona humo ndani ya bibilia au hamuyaoni
Yani andiko kama hili mbaliona au hamulioni
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Ili ujijue kuwa wewe Wazungu wamekufanya msukule wao jibu hili swali
Hapo Yesu anamsujudia na kumuomba Mungu gani kama yeye ndio JEHOVAH?