Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Hizi dini zimetufanya kuwa wajinga na mazombies..Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Sawa Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu.
Vipi kuhusu Yesu/ Yehova au mungu aliyetajwa kwenye Biblia, yeye alijipambanua kwa lugha ipi...? Kiswahili..?English..? Kilatini..? Kifaransa..? Kichina au KIIBRANIA.
Point yangu ni kwamba kama Yehova alijipambanua kwa lugha ya Kiibrania, ukweli ni kwamba huyo hatuhusu sisi waswahili.
Tutafute Mungu wetu ambaye ataelewa kiswahili kama sisi.