Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje?Utoto? Hata miaka kumi sidhani kama imepita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje?Utoto? Hata miaka kumi sidhani kama imepita.
Labda... sina uhakika sanaUnajuaje?
Allah ni kiarabu bwana na wala sio wazigua wala wamatumbi waliomfahamu huyo allah hadi pale hao waarabu walipokuja kufanya biashara yao haramu ya utumwa na kusilimisha watu kwa kuwalazimisha waachane na imani zao na hata wewe unaingia kwenye mkumbo huohuo.Hauhitaji wataalam wa dini unahitaji kuelewa lugha tu. Soma.
Mungu = "common noun" Kiswahili.
God = "common noun" Kingereza.
Allah = "proper noun" kwa lugha yoyote ile.
Nimekataa uwepo wa Mungu kabla sijaondoka Tanzania, tangu nikiwa na takriban miaka 19.Labda... sina uhakika sana
Hongera zenu Kwa kuwa na Mungu ambaye pia ana Mungu wakeNi kweli yesu sio mungu, isipokuwa Yesu ndio Mungu
Umeamua kuzua taharuki tu, ila kumbuka Allah ni Mwenyezi Mungu ambaye kila mmoja wetu anapaswa kumuabudu na kumnyenyekea yeye tuWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua
Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
matusi yanatokea wapi tena???Upumbavu uliobebwa na bichwa langu una manufaa mara 7 zaidi ya hekaya za sungura na Fisi za kumpiga mawe sheitwan pale black stone!
Umenipata wewe poumbou?
😁😁
Nilete mara ngapi ushaletewa hapa wewe kula chuma hicho!
Hapa ndugu zetu ndio huwa wanajichanganya sana .La illah = hakuna Mungu
Ila Allah = isipokuwa Allah
Kama Allah maana yake Mungu hebu nitajia huyo Allah Jina lake ni nani ?
Yaani unashika dini siku zote hizo na hujui jina la Mungu wako?
Ni ajabu na kweli.
China huenda akashindwa, Wachina mambo ya dini wameyadhibiti haswa.Mengi unayoongea ni upuuzi mtupu.
Ila kutumia lugha moja ya kiarabu,kuna faida kuwa Sheikh wa Bongo anaweza kusalisha na kutoa mawaidha Xinjiang China, Georgia Urusi Chechnya Caucases,, Amritsar India etc na vice versa.
"Nabii" 😧wa Kimasai atatoaje neno Greenland?
Ki spiritual kila kitu ni kimoja, wewe ni mimi na mimi ni wewe. Utofauti ni maumbile ya njeWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua
Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Hiyo niliyoandika Ni Biblia Maybe tunatofautiana Mimi nasoma From The Original Context of the bible the Tanakh (The hebrew one) na sio Tafsiri...Mimi natumia knowledge ya biblia wewe sijui unaitumia kitabu gani?
Samahani ndugu naomba nione biblia yoyote uliyowahi kusoma ikiandika jina Yahweh kama lilivyo
Tunjadili Ng'wanamalunde mtume wa WakushiWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Mungu anajua kila lugha huitaji kutumia Lugha ya sehemu alipojifunua kwa mara ya kwanza ndio uwasiliane yeye hata kwa lugha yako ya asili anaijua
Allah ye anajua kiarabu Lugha nyingine hazijui,Hivo inabidi watu wajifunze kiarabu ndio wawasiliane nae hata jina lake Haliruhusiwi kuitwa kwa Lugha nyingine isipo kua kiarabu.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Unaonesha huelewi maana ya "proper noun". Ngiha nijuoendarsa dogo. Jina lako ubalooewa kwenye kitambulisho chako halijalishi la lugha ipi, linabaki kuwa ni hilo hilo, mfano unaitwa "Juma" huwezi kwa Kingereza ukaitwa "week".Allah ni kiarabu bwana na wala sio wazigua wala wamatumbi waliomfahamu huyo allah hadi pale hao waarabu walipokuja kufanya biashara yao haramu ya utumwa na kusilimisha watu kwa kuwalazimisha waachane na imani zao na hata wewe unaingia kwenye mkumbo huohuo.
We mzee nakuelewaga sanaa.. una madini mengi mno👏👏🤣🤣🤣🤣
Pardon my French sir!
Jitahidi Sana Usome Mkuu..
Mimi Niko Haikusimama Badala ya Yahweh Ngoja Nikueleweshe Kitu..
Mimi Niko Ilitokea Wapi?
Mimi niko Ilitokea Kipindi Musa Anamuuliza Mungu Jina lake..
Sasa Sikiliza Mungu alichomjibu..
Fungu hilo linatoka Shemot 3:14(Kutoka 3:14)View attachment 3017918
Nitakuandikia Chini..
וַיֹּאמֶר אֱלֹהִים אֶל־מֹשֶׁה אֶהְיֶה אֲשֶׁר אֶהְיֶה וַיֹּאמֶר כֹּה תֹאמַר לִבְנֵי יִשְׂרָאֵל אֶהְיֶה שְׁלָחַנִי אֲלֵיכֶם׃
Inavyotamkwa-
Va'yomer Elohim el-Mosheh ehyeh asher ehyeh, va'yomer, ko tomar livnei Yisra'el ehyeh shelachani aleichem.
Neno lenye Maandishi Mekundu Ndiyo hasa "NIKO AMBAYE NIKO"
Au kwa Tafsiri ya Kiswahili Fungu hilo..
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu
Sasa mkuu Tafsiri Ya YHWH uliyotoa Umeitoa wapi??
ok Tuachane na Hayo Je kabla ya Hapo (Mungu kutaja Niko and All staffs) jina hilo lilikuwepo?..
Kama Unajua Kiebrania Tafuta Tanakh soma..
Kipindi Mungu anaumba Jina lake lilikuwa Elohim!
Kuanzia Ber'eshit Bara Elohim... Na kuendelea
Ila ilipofika mwanzo 2 Akielezea Kukamilika kwa Uumbaji hapo ndo likaanza Kuonekana Jina La YHWH tena Likiambatana na Elohim..
View attachment 3017943
Kama unavyoona hapo Juu יְהוָה אֱלֹהִים....
jitahidi Uyajue Majina Ya Mungu na Lini Hasa yalionekana na kwanini Itakusaidia Sana...
HATA HIVYO HAIRUHUSIWI KUTAJA JINA LA MUNGU BURE
We Unahisi Yesu Anaweza Kulingana na Yhwh au Yehova au Elohim 🤣🤣Je Yesu,Yahweh na Yehova na wao kwakua hawafanani majina ni miungu tofauti kwa uelewa wenu?
Political correctnessHawa ni tofauti kabisa.. Wala sio mmoja. Wamejitambulisha kwa majina tofauti.. Mmoja akiitwa Yahweh mwingine akiitwa Allah.. Mmoja ameahidi uzima wa milele wenye kusifu na kuabudu mwingine ameahidi mito ya pombe na ngono isiyoisha utamu.. Mmoja amefundisha msamaha, mwingine amefundisha kisasi.. Na hata mitume wao ni tofauti kabisa.. Kwa nini sisi tuseme ni mmoja wakati tofauti zao zipo wazi..
Mimi nilikataa toka naanza kushahadia mwenyewe utotoni.Nimekataa uwepo wa Mungu kabla sijaondoka Tanzania, tangu nikiwa na takriban miaka 19.
Usibadili mada..Je Yesu,Yahweh na Yehova na wao kwakua hawafanani majina ni miungu tofauti kwa uelewa wenu?
Nami nitakuuliza swali moja tu..ukinijibu tutaendelea sawa.Sisimizi anae anza maisha leo ambae mda wake ni mwaka mmoja tu kisha hufa..anaweza kujua maisha ya kwako ya miaka 20 iliyopita na hata mengine 50 ijayo.We maskini mbwa takataka, usidhani humu kila mtu ni juha kama ulivyo wewe. Na usidhani hatuwezi kufanya attack.
Pimbi kama wewe afadhali baba yako angemwaga manii zake kuliko kuzaa mwehu kama wewe.
Sasa turudi kwenye hoja,
Huyo muumba kabla ya kuumba mbingu na ulimwengu alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Haiwezekani pia huyo muumba kutokea tu, ghafla bin vuuh! From nothing.
Eleza na thibitisha huyo muumba alitoka wapi kabla ya kuumba mbingu na dunia?