secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nitamheshimu Mungu wangu na nitamkataa shetani mpaka kikomo cha pumzi yangu hapa dunianiWakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Uhalisia tu.Mmea unahusika hapa, au ni uhalisia kabisa mkuu?
Hajafanya chochote kwa sababu hayupo.Mungu kafanyaje tena leo huko?
Hivi kwa nini mungu ameshindwa kumsamehe Shetani huku akitutaka sisi tusameheane saba mara sabini?Nitamheshimu Mungu wangu na nitamkataa shetani mpaka kikomo cha pumzi yangu hapa duniani
Once up a time ulikua under magic field is it true or it's just a myth?Nitamheshimu Mungu wangu na nitamkataa shetani mpaka kikomo cha pumzi yangu hapa duniani
Kwahiyo huwezi kujadiliana mpaka ufungue visoda kadhaa πHivi msioamini kuwa kuna Mungu huwa mnatumia dhana gani kuthibitisha hilo ???
Subir kwanza niguse moja tatu tuje kujadiliana vizuri wakuu
Na rika lako waliokufa na wewe uliye hai haitoshi kukuonyesha Mungu alikuwapo, yupo na ataendelea kuwepo?Naked truth
Mungu angekuwa yupo asinge waacha wapalestina na waisrael wauwane miaka nenda Rudi
Ina maana huyo mungu anape da kuona damu za watu zikimwagika huku wengine wakipata vilema vya kudumu maishani mwao na watoto wakibaki kuwa mayatima wakati yeye yupo tu anatizama kama yupo na anatizama tu wakati uwezo wakufanya pande hizo mbili ziache kupigana basi huyo mungu atakuwa ni katili sana kuliko hata Magaidi
Harmful
Ukishatambua kuwa mungu hayupo basi jipege kifua huku ukisema 'nimekua'.Hivi msioamini kuwa kuna Mungu huwa mnatumia dhana gani kuthibitisha hilo ???
Subir kwanza niguse moja tatu tuje kujadiliana vizuri wakuu
Watu wabishi sana Kwahiyo acha niguse kwanza naweza kuokoa watu leoKwahiyo huwezi kujadiliana mpaka ufungue visoda kadhaa π
nakaribu Yesu anakuja kwa mapambano.Hili usilisahau.Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Naam ila nipe dhana kwanza unayotumia kukosoa uwepo wakeUkishatambua kuwa mungu hayupo basi jipege kifua huku ukisema 'nimekua'.