Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Na rika lako waliokufa na wewe uliye hai haitoshi kukuonyesha Mungu alikuwapo, yupo na ataendelea kuwepo?
Kufa ni nature character ni lazima viumbe tufe ili Ardhi i- produce bidhaa mpya ili Ardhi iendelee na uuzalishaji , ndio maana majani yaliyopo mtini ni lazima yapukutike yarudishe kile ambacho ili kivuna katika Ardhi the same katika Kila kitu ambacho no zao la Ardhi

So hiyo circle Haina uhusiano wowote na uwepo wa mungu , hata mbuzi na sisimizi wanakufa pia
 
Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.

Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.

Naishia hapa Kwa sasa.
FANYA KILA LIWEZEKANALO UFUTE HUU UZI LAKINI BAADA YA HAPO USIRUDIE TENA KUSEMA HAYA MANENO
 
Mimi tangu nazaliwa najua hayupo, labda ninyi mliotengeze uwepo wake ndo mnipe ushahidi wa uwepo wake.
Tuweke hivi vitabu vya dini pembeni rejea zake sometimes sio sahihi

Mimi naamini kuwa huu ulimwengu pamoja na dunia kuna ambaye amezitengeneza au kuziumba

Wewe ndugu yangu unaamini nini kwenye asili ya ulimwengu
 
Back
Top Bottom