Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Sasa bwashee mimi naamini hivyo ndiyo na uthibitisho wake nakuthibitishia kwa alivyoviumbaWewe una amini hivyo , ni muhimu sana uendelee kuamini kwa sababu ili kuua imani yako yakupasa uthibitishe uwepo Mungu
Wewe usioamini hivyo unathibitisha nini kuwa hayupo?????nini uliona ukasema hayupo nini ulihisi ukaona mungu hayupo bwashee karibu