Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Kilichokufanya wewe uulize swali ndicho kilichonifanya na mimi niulize swali kabla ya kujibu swali lako
Sawa uzuri ni kuwa tunaeleweshana na tutumie akili zetu kujibu hili tusiende kwenye kitabu chochote cha dini

Swali umeuliza asili ya Mungu

Mungu ndiyo kaumba ulimwengu na vyote vilivyomo

Kuhitaji kuthibitisha asili yake ili kumuamini ni dhana isiyo na mashiko kwasababu hakuna umuhimu sana wa kujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kukitumia au kumuamini

Kwa mfano leo hii kuna gari aina ya IST me Mnunuzi sina ulazima wa kujua kama gari hii aliyeigundua asili yake ni ipi ili niweze kuiendesha maana hata nisipojua ila kama gari Zima na nimeipenda naweza kuichukua na kuiendesha

Kama una swali juu ya hili uliza bwashee na mimi nikuulize yangu
 
Sawa uzuri ni kuwa tunaeleweshana na tutumie akili zetu kujibu hili tusiende kwenye kitabu chochote cha dini

Swali umeuliza asili ya Mungu

Mungu ndiyo kaumba ulimwengu na vyote vilivyomo

Kuhitaji kuthibitisha asili yake ili kumuamini ni dhana isiyo na mashiko kwasababu hakuna umuhimu sana wa kujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kukutumia au kumuamini

Kwa mfano leo hii kuna gari aina ya IST me Mnunuzi sina ulazima wa kujua kama gari hii imegunduliwa na nani na kutengenezwa na nani kwa Mara ya kwanza ili niweze kuiendesha maana hata nisipojua ila kama gari Zima na nimeipenda naweza kuichukua na kuiendesha

Kama una swali juu ya hili uliza bwashee na mimi nikuulize yangu
Wewe una amini hivyo , ni muhimu sana uendelee kuamini kwa sababu ili kuua imani yako yakupasa uthibitishe uwepo Mungu
 
Back
Top Bottom