Nakubaliana na wewe. Neno lenyewe "Anarchy " linaashiria kuasi dhidi ya mfumo mwema unaokubalika na wengi.
Kwa ivo hisia kwamba mfumo huo wa vurugu mechi (Anarch) ni mbaya ni kwa kuwa watu wanajua hawatakiwi kuishi aina hiyo ya maisha.
Sasa hoja yangu maisha mazuri au mabaya tafsiri yake haitoki kusikojulikana au kuwa na chanzo kinachotokana na uzowefu tu wa kuishi na kupambana na vikwazo katika maisha.
Hisia za hatia hazitokani na jinsi binadamu anavyoishi bali zinatokana na jinsi binadamu alivyoumbwa.
Bahati mbaya wengi wenye nadharia za mabadiliko ya binadamu kutokana na uzowefu wa maisha (evolution) hawataki kuamini kuwa binadamu kaumbwa na ingawa wenyewe hawana majibu kama hakuumbwa basi ametokeajetokeaje.