Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Kinachowatesa ndugu zake ni nini?Hao wanyama wasiouana hawana sababu ya kuuana na siyo Kinga ya wengine kuuawa.

Hao wanyama wasiobaka labda bado hawajafikia kiwango cha kubaka.
Jitahidi usome angalau vitabu viwili vya evolution au vinavyozungumzia evolution kiasi.
Nakupendekezea uanze na Sapiens: A Brief History of Humankind halafu soma The Selfish Gene.
 
Jitahidi usome angalau vitabu viwili vya evolution au vinavyozungumzia evolution kiasi.
Nakupendekezea uanze na Sapiens: A Brief History of Humankind
Mbona hakina tofauti na hekaya za watu wa dini. Yuval Harari mwenyewe hakuwepo kwenye mchakato aliokuwa anajaribu kuuelezea. Ni nadharia tu kama nadharia nyingine.

Kuua au sijui maumivu ya kuuliwa ama kubakwa kwa anayekuhusu ni dhana na nadharia zinazotokana na makuzi kwenye jamii zetu.
 
Kwanza kubali Kuna mpangaji wa mambo ya ulimwengu ndipo uwe na haki ya kuhoji huyo mpangaji alipangwa na nani.
Sawa nimekubali mkuu Kuna mpangaji wa mambo ya ulimwengu. Vipi na huyo mpangaji wa mambo ya ulimwengu amepangwa na nani? Unaweza kumtaja?
 
Mbona hakina tofauti na hekaya za watu wa dini. Yuval Harari mwenyewe hakuwepo kwenye mchakato aliokuwa anajaribu kuuelezea. Ni nadharia tu kama nadharia nyingine.

Kuua au sijui maumivu ya kuuliwa ama kubakwa kwa anayekuhusu ni dhana na nadharia zinazotokana na makuzi kwenye jamii zetu.
Sijawahi kuona hekaya za dini zenu zenye ushahidi wa fossil, DNA, Biology na historia.

Hata kama umeamua kuamini kwamba maumivu yanayotokana na kuua au kubaka kuwa ni dhana/nadharia tu inayotakana na makuzi katika jamii bado evolutionary psychology inaweza kuwa na maelezo mazuri zaidi kuliko hekaya za dini.
 
Unajua mjadala wetu upo juu ya kama ni tatizo kuua au kubaka... Sasa maelezo yoyote yanayolazimisha hisia za mtu mmoja zifanane na jamii inayomzunguka si sahihi.

Kwa ivo wengine kama wanaona kubaka au kuua ni tatizo isiwe lazima kwa kila mtu.

Kama hakuna maelezo yanayojitosheleza muuaji asiue au mbakaji asibake, tusilazimishane kusikia hisia za hatia kuua au kubaka.
 
Tatizo kwa nani?
Kwa upande wa anayeua au upande wa anayeuliwa?
 
Hoja yangu haya mambo ya kufuata nadharia za watu ama za wanadini au wanasaikolojia au wengine wowote wale, haihitajiki.

Kwa sababu haya mambo ya kuambiwa hili jema au baya ni kama kuelekezana jinsi ya kuishi wakati hakuna mfumo maalum unaomuongoza binadamu.

Kwa nini binadamu wawe wema, ili iweje?
 
Kama hakuna maelezo yanayojitosheleza muuaji asiue au mbakaji asibake, tusilazimishane kusikia hisia za hatia kuua au kubaka.
What are arguing?
Kwamba dini au culture ndio zinasababisha watu wanaouliwa mama, baba, au ndugu yao yoyote wasikie maumivu?
Kwamba mtu akibakwa maumivu anayoyapata ni kutokana na dini au nadharia/dana za kitamaduni za kijamii?
Hembu fafanua zaidi maana hueleweki.
 
Tunataka kujua kwanza amepangwa na nani huyo mpangaji wa ulimwengu?
Kwanza ni lazima kwanza ukubali kwamba yupo na uwepo wake unadhihirikaje.

Halafu kwa mfano watu wote tunajua kuwa binadamu hufa, lakini kifo kinatokana na nini nani anajua?

Hoja kwamba jambo lisilojulikana likoje ni kuwa halipo ni hoja dhaifu!
 
What are arguing?
Kwamba dini au culture ndio zinasababisha watu wanaouliwa mama, baba, au ndugu yao yoyote wasikie maumivu?
Kwamba mtu akibakwa maumivu anayoyapata ni kutokana na dini au nadharia/dana za kitamaduni za kijamii?
Hembu fafanua zaidi maana hueleweki.
Maumivu yapo ya aina mbili. Ya kimwili na kihisia. Ya kimwili yapo tu hayahitaji maelezo. Sasa ya kihisia ni lazima uwepo mfumo unaosema kubakwa ni jambo baya.

Sasa huo mfumo unaofanya watu wawe na hisia kuwa hili ni jambo baya au zuri hauwezi toka kusikojulikana.

Hizi dhana za kina Yuvali na wenzake kuwa hisia hizo hujengeka kutokana na jamii kupambana na vikwazo inayokutana navyo, haina mashiko.

Ndipo ninaposema kanuni zisizojulikana chanzo chake hazina sababu ya kufuatwa maana ni jambo la hiyari.

Kama kubaka na kuua wakati uliopita lilikuwa jambo baya, basi sasa ndiyo kinakuja kizazi cha kuhalalisha ubakaji na uuaji ili vizazi vijavyo vikute ndiyo mfumo wa jinsi ya kuishi.
 
Hoja yangu haya mambo ya kufuata nadharia za watu ama za wanadini au wanasaikolojia au wengine wowote wale, haihitajiki.

Kwa sababu haya mambo ya kuambiwa hili jema au baya ni kama kuelekezana jinsi ya kuishi wakati hakuna mfumo maalum unaomuongoza binadamu.

Kwa nini binadamu wawe wema, ili iweje?
Ni jambo ambalo linawezekana kuishi katika anarchy kwa mfano iwe watu wakipotezewa ndugu zao hakuna kufuata utaratibu wa kusubiria Police au vyombo vya uchunguzi bali upande mwingine nao waliopotelezewa ndugu yao nao wanabeba silaha tu kwenda kulipiza kisasi,

Mtu akibakiwa mtoto wake au mke wake naye anaenda upande wa mbakaji anabaka, anaua na kufanya lolote analotaka.

Mfano mdogo wa anarchy unaiyoitaka ni Somalia, Sudan, Yemen na Haiti. Huko nyuma pia binadamu wote waliwahi kuishi katika hali ya namna hii unayoifikiria wewe.
 
Kwanza ni lazima kwanza ukubali kwamba yupo na uwepo wake unadhihirikaje.

Halafu kwa mfano watu wote tunajua kuwa binadamu hufa, lakini kifo kinatokana na nini nani anajua?

Hoja kwamba jambo lisilojulikana likoje ni kuwa halipo ni hoja dhaifu!

Mkuu Kwa maelezo haya siwezi kuendelea kujibu au kukuuliza chochote.
Tutakutana kwenye mambo mengine ila katika hili unaleta blah blah 🙏
 
Maumivu yapo ya aina mbili. Ya kimwili na kihisia. Ya kimwili yapo tu hayahitaji maelezo. Sasa ya kihisia ni lazima uwepo mfumo unaosema kubakwa ni jambo baya.

Sasa huo mfumo unaofanya watu wawe na hisia kuwa hili ni jambo baya au zuri hauwezi toka kusikojulikana.

Hizi dhana za kina Yuvali na wenzake kuwa hisia hizo hujengeka kutokana na jamii kupambana na vikwazo inayokutana navyo, haina mashiko.

Ndipo ninaposema kanuni zisizojulikana chanzo chake hazina sababu ya kufuatwa maana ni jambo la hiyari.

Kama kubaka na kuua wakati uliopita lilikuwa jambo baya, basi sasa ndiyo kinakuja kizazi cha kuhalalisha ubakaji na uuaji ili vizazi vijavyo vikute ndiyo mfumo wa jinsi ya kuishi.
Kwa nini unafikiri maumivu yote ya kihisia yanahitaji kuwepo mfumo unaosema jambo fulani ni baya?

Kwa nini unafikiri mtu anahitaji mfumo wa kijamii kumfanya kuumia kihisia anapofiwa na mzazi wake, watoto wake au ndugu zake?

Unafikiri bila mfumo kusema wizi ni mbaya binadamu wangejisikia vizuri tu kuibiwa mali zao?
 
Ni jambo ambalo linawezekana kuishi katika anarchy kwa mfano iwe watu wakipotezewa ndugu zao hakuna kufuata utaratibu wa kusubiria Police au vyombo vya uchunguzi bali upande mwingine nao waliopotelezewa ndugu yao nao wanabeba silaha tu kwenda kulipiza kisasi,

Mtu akibakiwa mtoto wake au mke wake naye anaenda upande wa mbakaji anabaka, anaua na kufanya lolote analotaka.

Mfano mdogo wa anarchy unaiyoitaka ni Somalia, Sudan, Yemen na Haiti. Huko nyuma pia binadamu wote waliwahi kuishi katika Hali ya namna hii unayoifikiria wewe.
Nakubaliana na wewe. Neno lenyewe "Anarchy " linaashiria kuasi dhidi ya mfumo mwema unaokubalika na wengi.

Kwa ivo hisia kwamba mfumo huo wa vurugu mechi (Anarch) ni mbaya ni kwa kuwa watu wanajua hawatakiwi kuishi aina hiyo ya maisha.

Sasa hoja yangu maisha mazuri au mabaya tafsiri yake haitoki kusikojulikana au kuwa na chanzo kinachotokana na uzowefu tu wa kuishi na kupambana na vikwazo katika maisha.

Hisia za hatia hazitokani na jinsi binadamu anavyoishi bali zinatokana na jinsi binadamu alivyoumbwa.

Bahati mbaya wengi wenye nadharia za mabadiliko ya binadamu kutokana na uzowefu wa maisha (evolution) hawataki kuamini kuwa binadamu kaumbwa na ingawa wenyewe hawana majibu kama hakuumbwa basi ametokeajetokeaje.
 
Nakubaliana na wewe. Neno lenyewe "Anarchy " linaashiria kuasi dhidi ya mfumo mwema unaokubalika na wengi.

Kwa ivo hisia kwamba mfumo huo wa vurugu mechi (Anarch) ni mbaya ni kwa kuwa watu wanajua hawatakiwi kuishi aina hiyo ya maisha.

Sasa hoja yangu maisha mazuri au mabaya tafsiri yake haitoki kusikojulikana au kuwa na chanzo kinachotokana na uzowefu tu wa kuishi na kupambana na vikwazo katika maisha.

Hisia za hatia hazitokani na jinsi binadamu anavyoishi bali zinatoakana na jinsi binadamu alivyoumbwa.

Bahati mbaya wengi wenye nadharia za mabadiliko ya binadamu kutokana na uzowefu wa maisha (evolution) hawataki kuamini kuwa binadamu kaumbwa na ingawa wenyewe hawana majibu kama hakuumbwa basi ametokeajetokeaje.
Wewe ukiulizwa nani amemuumba binadamu unaweza kuwa na majibu yenye uthibitisho au utataka watu waamini tu majibu yako?

Wanasayansi hawataki kuamini kwa sababu kila mtu anaweza kuamini anachotaka, wanataka kujua kwa uthibitisho.

Mengine uliyoandika kuhusu mfumo wa maisha na anarchy ni too simplistic na yame base kwenye assumption au imani yako binadamu ameumbwa na hakuna evolution.
 
science ime prove sehemu gani hebu tuambie (binafsi naamini mungu yupo)
Soma Blood circulation, soma the Solar system, Soma Excretion etc humo utauona uwepo wa Mungu,

NB,
Tusisome kwajili ya kufaulu mitihani tusome kwa mazingatio. 🙏
 
Back
Top Bottom