Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa mfano ukiambiwa kwenye kesi ya mauaji kuwa uthibitishe kuwa hukuwepo eneo la tukio, jibu lako litakuwa kwa kuwa hukuwepo eneo la tukio basi huwezi kuthibitisha kuwa hukuwepo kwa kuwa hukuwepo?Kitu ambacho hakipo unakithibisha vipi?