Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Bila kuwa na hisia ya aina yoyote Mungu hayupo na kama yupo hana maana yoyote umuhimu wowote kwenye maisha na wala hakuna sababu ya kumwamini 🤔
Yeah, binadamu ndo wanajitia kumpa sifa moja tu ya uzuri ile ya ubaya wanaitoa ila wanasahau katuumba kwa mfano na sura yake so ubaya na uzuri tulionao wanadamu na yeye hizo sifa anazo.Sema tu sisi binadamu tujipendekeza kwa Mungu, hadi watu wanakesha kumuimbia makanisani ila kiundani Mungu anasifa zote hata hasira sijui wivu anao kwa viumbe wake ndo maana kaandaa pepo na moto anawivu tu kama hukuchagua upande wake akutie kiberiti.
 
Leta hiyo biology mkuu si ndiyo kuelekezana huko
Hizi ni issue za genetic variation mzee, also fertilization issues ndio maana mwanaume na mwanamke anaweza kuexist Incase kiumbe kama mwanadamu atazalisha chromosome XY basi tu expect kiumbe Cha kiume, pia akizalisha XXY au XYY tugemee kutha(hawa ni watu ambao sio wanawake Wala sio wanaume they have both characteristics) so it's all about genetics and nothing more than that.
 
Hata ugomvi wao haukutuhusu binadamu ni vile Mungu aliamua tu kutuumanisha na shetani tupambane nae tumshunde et, wakati yeye kachemka akatutupia sisi dumbwana ambalo linakila aina ya nguvu. Kama lipo kweli basi limetusomba wengi mno. Yaan ukiisoma au kuiisikia hadithi ya Sodoma na Gomola basi ndo dunia nzima ilivyo kwa sasa.Hakuna mtakatifu hata mmoja dadeki, kwa zile sheria na amri zake siku akiamua kututia kiberiti kama Sodoma na Gomola hamna kizazi kitabaki😁😁😁
Inasemekana shetani aliubwa na mungu na alikuwa mtiifu kwa mungu, lakini baadaye shetani akaanza kuasi ndipo mungu akakasirika na kumtupa.

Swali langu hapa ni, je, mungu ambaye anauwezo wa kujua kitakachotokea mbeleni ameshindwaje kujua iwapo shetani siku moja atakuja kumgeuka/kumuasi?
 
Hizi ni issue za genetic variation mzee, also fertilization issues ndio maana mwanaume na mwanamke anaweza kuexist Incase kiumbe kama mwanadamu atazalisha chromosome XY basi tu expect kiumbe Cha kiume, pia akizalisha XXY au XYY tugemee kutha(hawa ni watu ambao sio wanawake Wala sio wanaume they have both characteristics) so it's all about genetics and nothing more than that.
Nimeishia hapo kwenye genetic tu nimepiga picha na kwenye XXY ila nikimwambia unipe chanzo cha hizi genetics na XXY ni nini

Ukinipa hiko chanzo uniambie chanzo chake ni nini tujue mwanzo wake kabisa
 
Zinaelezeka bro everything can be explained within a scope of chemistry and biology vizuri tu.

Sasa hivi Kuna watu Wana Tengeneza mpaka genetically modified organisms utawaeleza nini kuhusu ingredients wanazotumia.
 
Inasemekana shetani alibwa na mungu na alikuwa mtiifu kwa mungu, lakini baadaye shetani akaanza kuasi ndipo mungu akakasirika na kumtupa.

Swali langu hapa ni, je, mungu ambaye anauwezo wa kujua kitakachotokea mbeleni ameshindwaje kujua iwapo shetani siku moja atakuja kumgeuka/kumuasi?
Yawezekana ni sisi tu binadam tunampa ujiko Mungu ila usikute hata hajui tukio/ matukio yajayo mbele vinginevyo kama anajua basi ni mnafiki😁😁Sema Shetani kawasanua wengi tu. Shetani asingewezA kumgeuka mkuu wake bure tu,hapa kuna kitu tu kilichopelekea Shetani kumzingua Mungu. Mfano ni huu wa kwetu, jamaa alitufunua kwamba tupo uchi😁😁😁 na hata swala la kuzaana nadhani nililikuja baada ya kufukuzwa Edeni. Nadhani shetani alikuwa anahitaji viumbe viwe huru na si kukesha kusujudu na kuimba mapambio mbele ya kiti cha enzi😁😁😁😁
 
Shetani na mungu kama mchezo wa pwagu na pwaguzi tu.
 
Zinaelezeka bro everything can be explained within a scope of chemistry and biology vizuri tu.

Sasa hivi Kuna watu Wana Tengeneza mpaka genetically modified organisms utawaeleza nini kuhusu ingredients wanazotumia.
Elezea sasa mkuu usimalize juu juu tu

Kama hao watu wanaweza kutengeneza hizo genetics umejiuliza zile za kwanza kabisa zilitokea wapi
 
Kwani Kila chenye mwanzo kimetengenezwa na mungu? Kumbuka hata bakuli linamwamzo.
Hili swali uzuri Mwalimu wa tuisheni alishanielekeza

Tunaangalia vile vitu vya kale na kale kama jua mwez na vingine sio hivi gari au nyumba

Halaf pia napenda mnapokubali kuwa vitu huwa vinatengenezwa na yupo mtengenezaji ila tukifika kwenye ulimwengu mnaishia kusema bing bang
 
Back
Top Bottom