Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Hili swali mnapenda sana kuuliza ila jibu lake ni kuwa hata tukijua kuwa ametokea wapi haiwezi kupunguza uwezo wake

Iwe ameumbwa au hajaumbwa haiwezi kuathiri uwezo wake

Ndiyo maana nakwambia hivi mimi sijui alipotokea ila haimanishi kuwa siwezi kuona athari zake

Ni mfano mdogo tu japo haufikii huko ni kuwa mimi naona comment zako sasahivi ila sijui Upo wapi wala unafanya nini

Na ukwel ni kuwa Mungu hapimwi kwa asili yake Bali kwa athari zake ukielewa hili itakulaisishia kupata maswali mengine MAGUMU zaidi ya kuhoji
Athari zipi elezea?
 
Sema Hawa jamaa ukiwashida kwa hoja wanaanza vitisho.

Ikitokea umepatwa na jambo baya, kwa mfano ukipata ajali ukavunjika wanaanza kuhusianisha hilo tukio na kile kitendo Cha wewe kupinga uwepo wa mungu.

Hawajui kuwa mazuri na mabaya ni part ya maisha 😂.

Nyambafu sana vijana Hawa.
Mimi kuna kiazi mmoja alidai nitakufa sasa cha kushangaza juzi napata taarifa kagongwa na boda boda kafa
 
Chanzo Cha mwenyezi Mungu ni nini?

Mungu ni nani?, yupo wapi?
Hivi majibu yangu nayokupa mbona yapo clear ila sijui huyasomi

Hili swali mnapenda sana kuuliza ila jibu lake ni kuwa hata tukijua kuwa ametokea wapi haiwezi kupunguza uwezo wake

Iwe ameumbwa au hajaumbwa haiwezi kuathiri uwezo wake

Ndiyo maana nakwambia hivi mimi sijui alipotokea ila haimanishi kuwa siwezi kuona athari zake

Ni mfano mdogo tu japo haufikii huko ni kuwa mimi naona comment zako sasahivi ila sijui Upo wapi wala unafanya nini

Na ukwel ni kuwa Mungu hapimwi kwa asili yake Bali kwa athari zake ukielewa hili itakulaisishia kupata maswali mengine MAGUMU zaidi ya kuhoji
hebu soma tena hapa halaf toa hoja
 
Hivi kwa nini mungu ameshindwa kumsamehe Shetani huku akitutaka sisi tusameheane saba mara sabini?
Hata ugomvi wao haukutuhusu binadamu ni vile Mungu aliamua tu kutuumanisha na shetani tupambane nae tumshunde et, wakati yeye kachemka akatutupia sisi dumbwana ambalo linakila aina ya nguvu. Kama lipo kweli basi limetusomba wengi mno. Yaan ukiisoma au kuiisikia hadithi ya Sodoma na Gomola basi ndo dunia nzima ilivyo kwa sasa.Hakuna mtakatifu hata mmoja dadeki, kwa zile sheria na amri zake siku akiamua kututia kiberiti kama Sodoma na Gomola hamna kizazi kitabaki😁😁😁
 
Hawa wenyewe wanaopiga kelele za uwepo wa Mungu humu tofauti hapa ukiwakuta kidimbwi ushangaa sana
 
Back
Top Bottom