Kiumbe binadamu,akiulizwa yeyote hapa anayesema Mungu hayupo aiamuru science imthibitishie kwamba ataamka salama kesho aende salama kazini mambo yawe kama yalivyokuwa leo hawezi kupata jibu,hata sekunde kumi mbele sayansi haiwezi kumwambia kitakachomkuta.
Hata hiyo sayansi inayoaminika kuchukua nafasi ya Mungu haijawahi kuelezea binadamu anapolala akili anapeleka wapi,kufanya nini,kwanini mmoja huamka mwengine asiamke ikiwa wote walilala wakipotelea usingizini?tuseme wanaokufa ni wagonjwa?kama wagonjwa mbona sayansi haijaweza kuwapa dawa wasifie usingizini?au dawa wanatumia mbona dawa zisiwazuie wasife usingizini!
Kuna kitu zaidi ya hiki na kipo nje ya angle za kibinaadamu.