Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Thibitisha kwanza uwepo wake kabla hujaja kwenye athari iliyonayo.
Nakuthibitishia na point zaidi ya Mia
Ila nakupa moja utofauti wa mwanamke na mwanaume

Huu utofauti unaonesha kuwa kuna ambaye amedesign hili na kuumba Kwamba kuwe na binadamu ila jinsia tofauti

Kwamba bwana secretarybird utofauti wako na mwanamke Unaweza kusema ni nini kimetokea ni bomu au 🤔
 
Sawa, hakuna tatizo, ukaidi una madhara makubwa sana, cheza na vitu vyote lakini usithubutu kucheza na tembo kwasababu atakukanyaga
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishuke
 
Tatizo hujaelewa mfano mkuu

Yaani nimemaanisha hivi kwanini mimi ninayetetea nitoe sababu halafu wewe unayepinga usitoe sababu

Tafakari vizuri bwashee usikurupuke
Semper necessitas probandi incumbit ei qui agit.
 
Umejuaje kama yalitungwa?
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishuke
 
Maisha yote ya huu ulimwengu wewe umeona kuoa ndiyo ufanane na Mungu...

Mantiki na maudhui ya hii hoja yako ni nini?
 
mara ya kwanza wakati tunaanza nilikwambia hatutumii kitabu chochote kuthibitisha uwepo wa Mungu

Tutumie akili mkuu Ona sasa haya maneno umeyatoa wapi nakuuliza unasema unapotezewa muda 😅😅😅
Karudie nyuzi za nyuma usome zinazozungumzia haya , unapoteza mda tu na maswali ambayo yameshajibiwa humu
 
Ei incumbit probatio qui dicit, non qui negat
Yeye ndiyo alianza kusema hayupo bila point muhimu

Kwahiyo uhalisia mzigo Upo wake kuthibitisha kutokuwepo kwake

Au hujasoma mada inahusu nini mkuu
 
Back
Top Bottom