Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Nakuthibitishia na point zaidi ya Mia
Ila nakupa moja utofauti wa mwanamke na mwanaume

Huu utofauti unaonesha kuwa kuna ambaye amedesign hili na kuumba Kwamba kuwe na binadamu ila jinsia tofauti

Kwamba bwana secretarybird utofauti wako na mwanamke Unaweza kusema ni nini kimetokea ni bomu au 🤔
Huyu ambaye amedesign binadamau wa jinsia mbili katengenezwa/kaumbwa na nani?
 
Mantiki na maudhui ya hii hoja yako ni nini?
Mungu kama kweli yupo,kwanini dictator Samuya anajinasabisha kama Mungu, na ameuwa watu kama kuku waliokufa na kideli, akawafukia kama ng'ombe waliokufa na kimeta, akaenda mbali akakejeli maiti,akaenda mbali akasema Mungu atake asitake lazima awe raisi bado tu wapinzani wake na wanaharati wanafirwa, wanabakwa na wanalawitiwa,lakini anasurvive,je nani utakaye mwambia Mungu yupo akaamini kwa scenario hii???
 
Anayesema hayupo.
Hapana... Mtu anasema Mungu yupo... Wewe unasema Mungu hayupo. Wewe unayekuja kusema Mungu hayupo baada ya mwingine kusema Mungu yupo... Wewe ndiye mshtaki (Accusers) na aliyesema Mungu yupo ndiyo (Accused)

Kwa mfano wa Sasa wanaosema Mungu hayupo ni sawa na "Jamhuri" na wale wanaosema Mungu yupo ndiyo sawa na "Lissu"
 
Yeye ndiyo alianza kusema hayupo bila point muhimu

Kwahiyo uhalisia mzigo Upo wake kuthibitisha kutokuwepo kwake

Au hujasoma mada inahusu nini mkuu
Usiangalie sasa, angalia wakati wote. Wanaosema mungu yupo ndio walianza, wanaokana uwepo wake iwe kesho, leo, jana, juzi au miaka mia iliyopita wanajibu tu madai. waliyoyakuta.
 
Mungu msamehe mleta mada
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishuke
 
Hapana... Mtu anasema Mungu yupo... Wewe unasema Mungu hayupo. Wewe unayekuja kusema Mungu hayupo baada ya mwingine kusema Mungu yupo... Wewe ndiye mshtaki (Accusers) na aliyesema Mungu yupo ndiyo (Accused)

Kwa mfano wa Sasa wanaosema Mungu hayupo ni sawa na "Jamhuri" na wale wanaosema Mungu yupo ndiyo sawa na "Lissu"
Burden of proof inamwangukia anae toa dai fulani ,Mungu yupo , weka uthibitisho wake.
 
Usiangalie sasa, angalia wakati wote. Wanaosema mungu yupo ndio walianza, wanaokana uwepo wake iwe kesho, leo, jana, juzi au miaka mia iliyopita wanajibu tu madai. waliyoyakuta.
Yaani tupo hapa usiangalie ya nyuma

Tujadili hapa huwezi kunifunga kisa wanyuma wali sema hivi

Mada inalenga kutokuwepo kwa Mungu Leta hoja inayosema Mungu hayupo
 
Tatizo hujaelewa mfano mkuu

Yaani nimemaanisha hivi kwanini mimi ninayetetea nitoe sababu halafu wewe unayepinga usitoe sababu

Tafakari vizuri bwashee usikurupuke
Anayepinga hahitaji kutoa sababu. Ukisema kuna Sungura anayeongea unatakiwa umlete huyo Sungura aongee au ushahidi clip au watu walioshuhudia huyo Sungura akiongea n.k Huwezi kumuambia anayebisha uwepo wa Sungura mzungumzaji akupe ushahidi, huko ni sawa na kuchanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom