Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Anayepinga hahitaji kutoa sababu. Ukisema kuna Sungura anayeongea unatakiwa umlete huyo Sungura aongee au ushahidi clip au watu walioshuhudia huyo Sungura akiongea n.k Huwezi kumuambia anayebisha uwepo wa Sungura mzungumzaji akupe ushahidi, huko ni sawa na kuchanganyikiwa.
Unajichosha kwa mtu anae jifanya haelewi kwa makusudi kabisa , hizi ruka ruka za kukosa uthibitisho wa hayo madai yao
 
Anayepinga hahitaji kutoa sababu. Ukisema kuna Sungura anayeongea unatakiwa umlete huyo Sungura aongee au ushahidi clip au watu walioshuhudia huyo Sungura akiongea n.k Huwezi kumuambia anayebisha uwepo wa Sungura mzungumzaji akupe ushahidi, huko ni sawa na kuchanganyikiwa.
Kwa mfano huyo sungura wako haongei na wewe unasema haongei na sisi tunasema anaongea

Si inabidi we umelete sungura wako tumuone kama haongei ili tuamini

Basi ndiyo sawa sawa na mtoa mada amesema hakuna Mungu tumeomba uthibitisho we unakuja kunipa mzigo mimi wakati yeye ndiyo kasema Mungu hayupo

Ety ndugu Mlatini
 
Nakuthibitishia na point zaidi ya Mia
Ila nakupa moja utofauti wa mwanamke na mwanaume

Huu utofauti unaonesha kuwa kuna ambaye amedesign hili na kuumba Kwamba kuwe na binadamu ila jinsia tofauti

Kwamba bwana secretarybird utofauti wako na mwanamke Unaweza kusema ni nini kimetokea ni bomu au 🤔
Vipi kuhusu intersex?
 
“Linda sana imani yako“

Ni maneno huwa naamka nayo kila asubuhi nikiyatafakari mara ninapoiona siku niliyokuwa sijui kama nitaiona,vyovyote ilivyo saa yaja.
 
Vipi kuhusu intersex?
Umeona hapo kwenye hizo jinsia ndiyo unathibitisha kuwa kuna ambaye ameumba hivyo

Muhimu ni kujiuliza kwanini sio wote wanaume au wote wanawake

Kuna utofauti na nini kimeleta utofauti
 
Kama umekataa kisa ulijadiliana na wengine sawa ujakatazwa ila kama unataka kujadiliana na mimi Leta hoja jibu hoja
Unajua inawezakana kabisa hauelewi unachokizungumza kabisa au unafanya makusudi kutoelewa ndio maana kabla ya kujibu maswali yako ni muhimu kujua kwanza
 
Unajua inawezakana kabisa hauelewi unachokizungumza kabisa au unafanya makusudi kutoelewa ndio maana kabla ya kujibu maswali yako ni muhimu kujua kwanza
Kuelewa au kutokuelewa kunapimwa kwa hoja

Tatizo mkuu sikuelew unatoa vitu nje ya point mara tena hutaki kujadiliana mara Unarud hebu Chagua upande tujue moja kiongozi
 
Back
Top Bottom