Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Kuelewa au kutokuelewa kunapimwa kwa hoja

Tatizo mkuu sikuelew unatoa vitu nje ya point mara tena hutaki kujadiliana mara Unarud hebu Chagua upande tujue moja kiongozi
Mkuu fikiria kabla ya kuandika jambo swala la hizi maada za uwepo wa Mungu ni kati ya mada ngumu sana duniani, wewe unataka kujibu kama darasa la kwanza ndio maana niliacha kwanza kukujibu nikuone utafikia wapi
 
Hapana... Mtu anasema Mungu yupo... Wewe unasema Mungu hayupo. Wewe unayekuja kusema Mungu hayupo baada ya mwingine kusema Mungu yupo... Wewe ndiye mshtaki (Accusers) na aliyesema Mungu yupo ndiyo (Accused)

Kwa mfano wa Sasa wanaosema Mungu hayupo ni sawa na "Jamhuri" na wale wanaosema Mungu yupo ndiyo sawa na "Lissu"
Katika "onus probandi" zingatia "an affirmative proposition"
 
Vijana shetan anazid kuwapoteza, kuna siku inakuja mtajutia.
Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.

Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
 
Kama Unaweza kuupima bila kuuona basi tunapima uwepo wa Mungu kwa Yale aliyoyafanya bila kumuona

Tuangalie ni kipi amefanya na athari zake kwenye ulimwengu usikimbilie yupo wapi wakati TUNAONA athari zake
Taja hizo athari
 
Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.

Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
Kwa nini unafikiri hivi??
 
Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.

Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.

Naishia hapa Kwa sasa.
Haya yote umeandika kwa manufaa ya nani?
Je wawepo au wasiwepo wewe unapungukiwa na nini?

Yote haya umeandika ili upate likes?
Kumbuka kaburini upo peke yako.
 
Nimetaja athari zake hapo juu tu

zisome halafu niambie na wewe unatumia dhana gani kuthibitisha hayupo
Hayupo kwa sababu hathibitiki kwa namna yoyote ile na hilo swala mpka leo limebaki kiimani tu , hapa umeelewa au nikutafsiria neno moja moja?
 
Back
Top Bottom