Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Umerudi kule kule tena , kwanini unafikiri chanzo chake ni Mungu?
Daah sasa kwanini unaniuliza mimi tu maswali we hujibu

Jibu hilo swali hapo juu halafu mwisho uliza hili swali lako bwashee

Mbona me nimejibu swali lako halafu nimeuliza la kwangu
 
Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.

Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
Watu dhaifu na waliopandikizwa woga na story za uwongo ndio wanaokiri uwepo wa mungu kwenye nafsi zao mkuu.

Ndiyo maana Kila kukicha akina Mwamposa wanawanyoosha vikali. Mtu anakuambia usipokwenda kanisani au msikitini kumwabudu mungu utakwenda motoni, ukimwambia wale wazee wa zamani waliopata kuishi kabla ya hizi dini kuja wameenda mbinguni ama motoni anaingia mitini.

Kiufupi ninyi mnaojifanya wachungaji, mapadre, mashekhe n.k mtaendea kuwadanganya wale wapumbavu waliopandikizwa mambo ya kipuuzi vichwani mwao Ili mpate kula.
 
Daah sasa kwanini unaniuliza mimi tu maswali we hujibu

Jibu hilo swali hapo juu halafu mwisho uliza hili swali lako bwashee

Mbona me nimejibu swali lako halafu nimeuliza la kwangu
Haya maswali tulishajibu shuleni mbona ? , nikajua unayajua majibu yake ndio maana nikaamua ku skip tu

Ndio maana nikakuuliza kwa nini wewe unahisi ni mungu?
 
Haya maswali tulishajibu shuleni mbona ? , nikajua unayajua majibu yake ndio maana nikaamua ku skip tu

Ndio maana nikakuuliza kwa nini wewe unahisi ni mungu?
Sasa na mimi nikwambie haya maswali tumejibu shuleni mbona mjadala utahamia kukumbushia majina ya walimu wetu bwashee

Haupo serious
 
Haya yote umeandika kwa manufaa ya nani?
Je wawepo au wasiwepo wewe unapungukiwa na nini?

Yote haya umeandika ili upate likes?
Kumbuka kaburini upo peke yako.
1. Kwa manufaa yunu mnaodanganywa Kila siku kuwa Kuna mungu na shetani.

2. Kama hutaki kunipa like unanipa kama hutaki unaacha maana haziniongezei chochote.

3. Wala sijaja kumtafuta mtu wa kuwa naye kaburini kupiga naye story.
 
Yoda hii ni kama ile "Scenario" ya wakristo kusema Yesu ni mwana wa mungu halafu miaka 600 baadae Muhammad akaja kusema Yesu si mwana wa Mungu.

Sasa zigo la kuthibitisha kuwa Yesu si mwana wa Mungu liko Kwa wanaosema Yesu si mwana wa Mungu.
 
Nimetaja athari zake hapo juu tu

zisome halafu niambie na wewe unatumia dhana gani kuthibitisha hayupo
Kwa upande wangu I know life ya viumbe imetokana na nature, na Dunia haijawahi kuongezeka since appearing yake. Kuna concept nyingi zimejaribu kueleza mwanzo wa dunia but all tunaishia kuona ni nadharia na zina uthibitisho na negative side ya kila moja meaning that neither any theory nor faith zimethibisha hili.

So, Dunia haijawahi kuongezeka wewe ni product ya existing material zilizopo meaning that your derived from cells basically but those cells zimetoka kwa wazazi na cell huzalishwa as a result of nutrients from environment, umekuwa ukila na kupata nutrients that's why umekua ulivyo.

Life is a continues circulation unakufa kiumbe mwingine anapata uhai.

Since then mwanadamu based on history ame exist millions and millions of years na past human being alikuwa dumb not as smart as mordern one what we currently see are just agreement may be tuite kitu fulani "Kishkwambi" hii imesaidia kutupa logical thinking by comparing language and translating them into things, feelings, actions so same comes to when we hear the word "God" it's just a meaning we have developed it in our head.


My question to you? Naomba nithibishie kwa kigezo cha fact uwepo wake!
 
Sasa na mimi nikwambia haya maswali tumejibu shuleni mbona mjadala utahamia kukumbushia majina ya walimu wetu bwashee

Haupo serious
Utofauti wa jinsia
Utofauti wa wanyama na binadamu
Kuzama na kuchomoza kwa jua

Hizi zinatosha na kama ukiona ni athari ndogo niambie Chanzo chake nini ndugu mwanasayansi


Haya ndio maswali yako? Mbona hata binti yangu hapa kajibu kiufasaha kabisa , hilo kwata la kujibu maswali ya sayansi la sita hunipigishi kabisa.
 
Kwa nini unafikiri hivi??
Kiumbe binadamu,akiulizwa yeyote hapa anayesema Mungu hayupo aiamuru science imthibitishie kwamba ataamka salama kesho aende salama kazini mambo yawe kama yalivyokuwa leo hawezi kupata jibu,hata sekunde kumi mbele sayansi haiwezi kumwambia kitakachomkuta.

Hata hiyo sayansi inayoaminika kuchukua nafasi ya Mungu haijawahi kuelezea binadamu anapolala akili anapeleka wapi,kufanya nini,kwanini mmoja huamka mwengine asiamke ikiwa wote walilala wakipotelea usingizini?tuseme wanaokufa ni wagonjwa?kama wagonjwa mbona sayansi haijaweza kuwapa dawa wasifie usingizini?au dawa wanatumia mbona dawa zisiwazuie wasife usingizini!

Kuna kitu zaidi ya hiki na kipo nje ya angle za kibinaadamu.
 
Back
Top Bottom