Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kama ni dhana tu na si kitu halisi, kwa nini unataka huyo Mungu athibitishwe kiuhalisia?Mungu ni concepts za kibinadamu tu ..
Ila kwa mujibu wa imani za kidini Mungu ni kama kiumbe fulani mwenye uhitaji wa kuabudiwa