Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

Wewe chukua tu upande mmoja mkuu, usije ukapasuka msamba.
Mimi namwamini Mungu ninayeweza kumprove kwa sayansi na personal experiences...Ninasoma bible ila na tafsiri kama kitabu kitabu kilichoandikwa kwa code ambazo naweza kuprove scientifically na logically...eg Adam na Hawa kwangu mimi ni Logic na emotion etc
 
😅😅😅 kwa huyo utaka kusema jamaa yupoje?
Huyu jamaa (mungu) ni mpenda sifa, mwenye wivu, anayependa kupewa matoleo na binadamu aliowaumba mwenyewe n.k.

kwa sifa hizi huyu mungu ni dhaifu maana kiumbe dhaifu hutafuta validation kwa viumbe wengine (hakiamini kama kinapendwa, kinauwezo n.k hadi kiaminishwe na wengine).
 
Mimi namwamini Mungu ninayeweza kumprove kwa sayansi na personal experiences...Ninasoma bible ila na tafsiri kama kitabu kitabu kilichoandikwa kwa code ambazo naweza kuprove scientifically na logically...eg Adam na Hawa kwangu mimi ni Logic na emotion etc
Ok sawa mkuu.
 
Huyu jamaa (mungu) ni mpenda sifa, mwenye wivu, anayependa kupewa matoleo na binadamu aliowaumba mwenyewe n.k.

kwa sifa hizi huyu mungu ni dhaifu maana kiumbe dhaifu hutafuta validation kwa viumbe wengine (hakiamini kama kinapendwa, kinauwezo n.k hadi kiaminishwe na wengine).
au Mungu katulia zake tu kauacha mzigo upo auto pilot , ni wajanja wachache wanajipigia tu🥲
 
Mkuu hii dhana ya asili nimeijibu hapo juu

Nimeeleza juu ya kutokuwa na ulazma wa kutokujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kuamini kama kina au ana uwezo wa kufanya kitu flani
Mkuu kwa hiyo unamaanisha hakuna ulazima wakutaka kujua asili ya Mungu ili tumuamini? Kwamba tuamini tu yeye ndo kaumba inatosha au😅😅😅Sasa huoni hapo ndo moja ya hoja zenye utata? Watu wanataka kujua asili ya ulimwengu huu then jibu linakuja ni Mungu kaumba so lazima watu watake kujua kama yeye ndo chanzo then aliibukaje hadi kuwa alivyo akaumba ulimwengu huu wote?? Kama yeye hana chanzo/ mwanzo na mwisho kwanini huu ulimwengu pia usiwe hivyo?
 

Attachments

  • Screenshot_20260211-010637_1.jpg
    Screenshot_20260211-010637_1.jpg
    104.3 KB · Views: 11
Watu wa sasa hvi mbona hawana show! Wewe unaongelea kumchana live? Kuna jamaa walitaka kuwapelekea moto malaika, mshkaji mmoja anaitwa Lutu akawaambia acheni usenge, kama shida yenu ni nyapu heri niwape mtoto wangu bikra mumle lakin sio hawa masela ambao ni wageni wangu...washkaji kijiji chote wakasema hatutak madem, watoe hao jamaa tuwatoe marinda...sasa kama unadhan akili za sasa hv zimeyumba🤔🤣
Inasemekana jamaa walishamalizana marinda mji mzima siyo mwanamke wala mwanaume alikuwa na marinda. Sasa walipoona mali mpya mjini walienda kuichangamkia na si wamasema malaika ni wazuri😁😁😁Ndo maana jamaa walienda kujaa kwa Lutu wawatafune malaika wa bwana.
Nasikia walikuwa wanazungusha duara wanachomekana yaani pasitokee mtu hajachomekwa mkuyenge😅Watu wa Sodoma na Gomora walistahili kiberiti kwakweli si kwa matendo yale hadi Mnyazi akakasirika.
 
Me sijui mkuu

Ila Nina swal kwako kutokujua asili yake inaweza kupinga uwepo
Mkuu Yesu mwenyewe watu walitaka kumjua yeye nini, anatokea wapi sijui wazazi hadi ukoo wake hata walihoji juu ya ufalme wake. Kwamba yeye ndo masihi au wasubiri mwingine.
Kuhoji ni muhimu ili kuondoa huu utata uliopo duniani maada kila imani inadai Mungu wao kaumba huu ulimwengu.Sasa tukishajua asili ya huyo unaemuamini tutajua pasi na shaka kwamba Mungu huyu au imani hii ndo yakuifata la sivyo tutabaki kugawanyika tu kitu ambacho sijajua huyo Mungu anafaidika na nini hali ikiwa hivi.
 
Back
Top Bottom